Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa
  Maudhui haya hayapatikani katika lugha uliyochagua, kwa hivyo tumeifanya ipatikane kwa lugha iliyo karibu zaidi inayopatikana kwa sasa.

  Jinsi ya kufanya tangazo lako lionekane

  Mwongozo wetu wa kuanza wa haraka utakusaidia kuwekewa nafasi na kuendesha biashara yako ya kukaribisha wageni.
  Na Airbnb tarehe 29 Jan 2021
  video ya dakika 7
  Imesasishwa tarehe 27 Sep 2023

  Tazama video na ukumbuke hoja saba muhimu za tangazo lenye mafanikio:

  • PichaTumia mchanganyiko wa picha pana na za kina ili kuwapa wageni watarajiwa mtazamo mzuri wa sehemu yako.
  • Kichwa, maelezo na vistawishi: Angazia kile kinachofanya sehemu yako iwe ya kipekee na urekebishe unapopata maoni na hamasa kutoka kwa wageni.
  • Mkakati wa kupanga bei: Angalia bei ilivyopangwa kwenye matangazo yanayofanana na yako katika eneo lako na uangalie Nyenzo yetu ya Kupanga Bei.
  • Mipangilio ya kalenda na kuweka nafasi: Unapata kudhibiti jinsi gani na wakati gani wageni wanaweza kuwekea nafasi tangazo lako.
  • Kujitokeza kwenye matokeo ya utafutaji: Hivi ni baadhi ya vidokezi vya kuboresha kiwango chako, kuanzia kuwasha nyenzo ya Kuweka Nafasi Papo Hapo hadi kupata tathmini nzuri.
  • Mchakato wa kuweka nafasi: Jibu wageni haraka na ukubali maombi mengi ya kuweka nafasi kadiri iwezekanavyo.
  • Kulipwa: Weka njia yako ya kupokea malipo ili ulipwe kiotomatiki.
  Airbnb
  29 Jan 2021
  Ilikuwa na manufaa?