Jinsi ya kuunda sehemu inayowafaa wageni
Vidokezi
Wasaidie wageni wajisikie kukaribishwa kwa kutoa sehemu kwa ajili ya mali zao
Weka vitu vya umakinifu ambavyo huwafurahisha wageni, kama vile maua na chaja za simu za ziada
Weka taulo za ziada, karatasi ya choo na vyakula vitamu kama kahawa, chai au vitafunio
Haijalishi ni sehemu ya aina gani unayoshiriki kwenye Airbnb, kuna mambo kadhaa rahisi unayoweza kufanya ili kuifanya iwe ya kuvutia na yenye starehe unapojitayarisha kuwakaribisha wageni wako wa kwanza.
Jizoeze ubunifu zingativu
Sehemu iliyobuniwa vizuri na mapambo yenye uzingativu inaweza kusaidia kuunda nyumba yenye makaribisho changamfu. Jaribu kujumuisha vitu vinavyoonyesha haiba yako, kama vile kumbukumbu kutoka kwenye safari zako. Vipengele vya ubunifu vinavyojali wengine vinaweza kusaidia sehemu yako ionekane kama nyumbani na yenye kuvutia—na si lazima viwe tata au vya bei ghali.
Stock up on amenities
At minimum, you must provide toilet paper, soap, one towel and one pillow per guest, and linens for each guest bed.
Guests also tend to really appreciate:
- Extra towels, blankets, and pillows
- Shampoo and conditioner
- Hair dryer
- Staples like coffee, tea, and a kettle
- Basic cleaning supplies
Create a cozy bedroom
The bedroom is where your guests will sleep and store their belongings, so it’s important to make it comfortable. Consider what might help you feel at home in someone else’s space.
For example, you could:
- Make room for personal items by providing a dresser with empty drawers, a closet with some empty hangers, or a luggage rack
- Set up a bedside table with a lamp, so guests can keep their eyeglasses, phone, or book near the bed
- Provide a quality mattress, a few extra pillows, and soft blankets to support different comfort levels
- Add some plants, a mirror, a carafe and glass for water, an international power adapter, and a multi-phone charger to give the bedroom a welcoming feel
Add finishing touches
- Sehemu kwa ajili ya vitu vya kibinafsi: Fikiria kutoa kabati la kujipambia lililo na droo tupu, kabati lenye viango kadhaa vya nguo au uchaga wa mizigo.
- Meza kando ya kitanda iliyo na taa: Wageni watataka vitu kama miwani yao, simu, bilauri ya maji au kitabu karibu na kitanda.
- Kitanda chenye starehe: Kazia uangalifu wako kwenye kitanda chenyewe. Kuongeza mito na mablanketi kadhaa ya ziada na kutandika kitanda kikawa nadhifu kunaweza kuchangia sana kuwapa wageni starehe.
- Mambo ya kuzingatia ya ziada: Ili kufanya sehemu kuwa ya makaribisho yenye uchangamfu, unaweza pia kuweka mimea, kioo, chupa ya maji, adapta ya umeme inayotumika kwa vifaa vingi vya elektroniki na chaja ya simu nyingi.
Vidokezi
Wasaidie wageni wajisikie kukaribishwa kwa kutoa sehemu kwa ajili ya mali zao
Weka vitu vya umakinifu ambavyo huwafurahisha wageni, kama vile maua na chaja za simu za ziada
Weka taulo za ziada, karatasi ya choo na vyakula vitamu kama kahawa, chai au vitafunio