Kuwajua wageni watarajiwa
Vidokezi
Fahamu wageni wako kabla hawajawasili kutoka kwenye ukurasa wao wa wasifu
Angalia tathmini zao mapema ili kuwafahamu vizuri
Wageni wanaweza kusoma kukuhusu na unaweza kusoma kuhusu wageni wako, hatua ambayo inasaidia kuunda uaminifu
- Gundua mengi zaidi katika mwongozo wetu kamili ili kuwafurahisha wageni wako wa kwanza
Mwanzoni, kuwakaribisha wageni kwenye sehemu yako kunaweza kuonekana kama jambo ambalo hujazoea. Mwenyeji Tim aligundua kwamba kuwafahamu wageni wake kabla hawajafika kulisaidia kuunda uaminifu na lilikuwa jambo rahisi kufanya. Ukurasa wa wasifu wa mgeni kwa kawaida unajumuisha picha yake, wasifu na tathmini za wenyeji wengine kutoka kwa ukaaji wa zamani ambazo zinaweza kukupa ufahamu kuhusu haiba yake na mtindo wa kusafiri. Unaweza pia kuelewa zaidi kuhusu wageni wako kwa kuuliza sababu ya safari yao—unaweza hata kugundua kuwa nyinyi wawili mna mambo mengi yanayofanana.