Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko Midrand

Gundua sehemu za kupangisha za muda mrefu ambazo unahisi kama upo nyumbani kwa sehemu za kukaa za mwezi mmoja au zaidi.

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Mwenyeji Bingwa
Fleti huko Lonehill
Fleti ya Kisasa ya Opulent na ya Kuvutia huko Lonehill.
Des 20 – Jan 17
$999 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.87 kati ya 5, tathmini 169
Mwenyeji Bingwa
Fleti huko Midrand
Nyumba salama, ya kisasa na yenye starehe yenye WiFi na DStv
Mei 16 – Jun 13
$715 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.93 kati ya 5, tathmini 42
Kipendwa cha wageni
Fleti huko Sandton
Fleti ya Studio ya Kibinafsi huko Douglasdale Sandton
Jan 22 – Feb 19
$414 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.95 kati ya 5, tathmini 44
Kipendwa cha wageni
Nyumba ya kulala wageni huko Midrand
Kimtindo, chenye nafasi kubwa na amani pamoja na mwonekano wa bustani
Apr 19 – Mei 17
$648 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 5.0 kati ya 5, tathmini 14

Vistawishi na marupurupu kwa ajili ya ukaaji wa muda mrefu

Nyumba za kupangisha zilizo na samani

Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.

Urahisi wa kubadilika unaohitaji

Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*

Bei rahisi za kila mwezi

Bei maalumu kwa ajili ya upangishaji wa likizo ya muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*

Weka nafasi bila hofu

Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.

Sehemu zinazofaa kufanyia kazi kwa ajili ya wahamaji wa kidijitali

Je, wewe ni mtaalamu unayesafiri? Pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.

Je, unatafuta fleti zilizowekewa huduma?

Airbnb ina nyumba za fleti zilizo na samani kamili zinazofaa kwa wafanyakazi, makazi ya shirika na mahitaji ya kuhama.

Sehemu ya kukaa karibu na mandhari maarufu za Midrand

MontecasinoWakazi 456 wanapendekeza
Fourways MallWakazi 147 wanapendekeza
Fourways CrossingWakazi 25 wanapendekeza
Kituo cha Mikutano cha GallagherWakazi 17 wanapendekeza
Dainfern SquareWakazi 26 wanapendekeza
Cedar SquareWakazi 37 wanapendekeza

Maeneo ya kuvinjari

*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.