Ruka kwenda kwenye maudhui

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko Miami

Jisikie ukiwa nyumbani katika maeneo ambayo ni bora kwa ajili ya kukaa kuanzia mwezi mmoja au zaidi

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Inaonyesha kitu 1 kati ya 1
Nyumba ya mjini nzima · Coconut Grove
Free parking in Coconut Grove. Central Miami area
$699 kwa mwezi
Inaonyesha kitu 1 kati ya 1
Fleti iliyowekewa huduma nzima · Downtown Miami
Mint House at ParkLine - Miami: Studio Apartment
$2,731 kwa mwezi
Inaonyesha kitu 1 kati ya 1
MWENYEJI BINGWA
Chumba cha mgeni nzima · Coral Way
Studio "Emilio & Argelia"
$1,368 kwa mwezi
Inaonyesha kitu 1 kati ya 1
MWENYEJI BINGWA
Chumba cha kujitegemea · South Miami
Comfy Studio / Loft in South Miami - w/kitchenette
$865 kwa mwezi

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja kwenye Airbnb

Starehe za nyumbani
Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.
Urahisi wa kubadilika unaohitaji
Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*
Bei rahisi za kila mwezi
Bei maalumu kwa sehemu za kukaa za muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*
Weka nafasi bila hofu
Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.
Sehemu zinazofaa kufanyia kazi
Kufanya kazi kumerahisishwa - pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.
Je, unatafuta nyumba za shirika?
Airbnb ina nyumba za fleti zilizo tayari kukaliwa zinazofaa kwa wafanyakazi, waliohamishwa na mahitaji ya kuhama.

Pata starehe za nyumbani na bei bora kwa ajili ya upangishaji wako wa kuanzia mwezi mmoja

  • Nafasi kwa kila mtu
  • Wafanyakazi walio safarini
  • Likizo zenye amani
  • Inafaa kwa wanyama vipenzi

Sehemu ya kukaa huko Miami

Wakazi wanashiriki mapendekezo maarufu ya kitongoji chao ili kukusaidia kupata sehemu ya kukaa kwa safari yako.

Picha ya Wynwood
WynwoodWanachosema wenyejiKisasa · Viwanda · Changamfu
Picha ya Little Havana
Little HavanaWanachosema wenyejiYa Kizamani · Tulivu · Kihistoria
Picha ya Coconut Grove
Coconut GroveWanachosema wenyejiKibohemia · Kihistoria · Kimapenzi
Picha ya Brickell
BrickellWanachosema wenyejiKimapenzi · Inayopendeza macho · Yenye mtindo
Picha ya Downtown Miami
Downtown MiamiWanachosema wenyejiUlimwengu wa njozi · Makazi · Changamfu
Picha ya Upper East Side
Upper East SideWanachosema wenyejiKihistoria · Kisasa · Tulivu
*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.