Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko Willemstad

Gundua sehemu za kupangisha za muda mrefu ambazo unahisi kama upo nyumbani kwa sehemu za kukaa za mwezi mmoja au zaidi.

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Kipendwa cha wageni
Fleti huko Willemstad
Oasis ya kijani katika Otro Curaçao
Okt 23 – Nov 20
$1,934 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.92 kati ya 5, tathmini 110
Mwenyeji Bingwa
Nyumba ya kulala wageni huko Willemstad
Ukarimu wa Studio kati ya Mambobeach na mji
Jun 5 – Jul 3
$1,367 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.82 kati ya 5, tathmini 117
Kipendwa cha wageni
Nyumba ya likizo huko Willemstad
Karibu kwenye Beach Hut Suite!
Feb 1 – Mac 1
$1,647 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.94 kati ya 5, tathmini 36
Kipendwa cha wageni
Fleti huko Willemstad
Casa Grosso
Nov 16 – Des 14
$1,152 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 5.0 kati ya 5, tathmini 6

Vistawishi na marupurupu kwa ajili ya ukaaji wa muda mrefu

Nyumba za kupangisha zilizo na samani

Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.

Urahisi wa kubadilika unaohitaji

Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*

Bei rahisi za kila mwezi

Bei maalumu kwa ajili ya upangishaji wa likizo ya muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*

Weka nafasi bila hofu

Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.

Sehemu zinazofaa kufanyia kazi kwa ajili ya wahamaji wa kidijitali

Je, wewe ni mtaalamu unayesafiri? Pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.

Je, unatafuta fleti zilizowekewa huduma?

Airbnb ina nyumba za fleti zilizo na samani kamili zinazofaa kwa wafanyakazi, makazi ya shirika na mahitaji ya kuhama.

Sehemu ya kukaa karibu na mandhari maarufu za Willemstad

Mambo BeachWakazi 209 wanapendekeza
Daraja la Malkia EmmaWakazi 65 wanapendekeza
Blue Bay Curaçao Golf & Beach ResortWakazi 11 wanapendekeza
Avila Beach HotelWakazi 30 wanapendekeza
Sambil CuracaoWakazi 141 wanapendekeza
Rif Fort villageWakazi 73 wanapendekeza

Maeneo ya kuvinjari

*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.