Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko Ukulhas

Gundua sehemu za kupangisha za muda mrefu ambazo unahisi kama upo nyumbani kwa sehemu za kukaa za mwezi mmoja au zaidi.

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Kipendwa cha wageni
Vila huko Ukulhas
Private modern villa on a beautiful island
Sep 19 – Okt 17
$3,903 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 5.0 kati ya 5, tathmini 14
Kipendwa cha wageni
Hoteli mahususi huko Ukulhas
Chumba cha kustarehesha Karibu na Pwani
Okt 13 – Nov 10
$3,150 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 5.0 kati ya 5, tathmini 6
Mwenyeji Bingwa
Hoteli mahususi huko Ukulhas
Nala Veli Maldives
Jan 29 – Feb 26
$2,646 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.71 kati ya 5, tathmini 31
Kipendwa cha wageni
Kitanda na kifungua kinywa huko Rasdhoo
Rasdhoo Coralville
Jun 14 – Jul 12
$1,409 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.85 kati ya 5, tathmini 59

Vistawishi na marupurupu kwa ajili ya ukaaji wa muda mrefu

Nyumba za kupangisha zilizo na samani

Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.

Urahisi wa kubadilika unaohitaji

Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*

Bei rahisi za kila mwezi

Bei maalumu kwa ajili ya upangishaji wa likizo ya muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*

Weka nafasi bila hofu

Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.

Sehemu zinazofaa kufanyia kazi kwa ajili ya wahamaji wa kidijitali

Je, wewe ni mtaalamu unayesafiri? Pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.

Je, unatafuta fleti zilizowekewa huduma?

Airbnb ina nyumba za fleti zilizo na samani kamili zinazofaa kwa wafanyakazi, makazi ya shirika na mahitaji ya kuhama.

Sehemu ya kukaa karibu na mandhari maarufu za Ukulhas

RETRO ROYALWakazi 3 wanapendekeza
SeaLaVie CafeWakazi 3 wanapendekeza
Central DinerWakazi 3 wanapendekeza

Maeneo ya kuvinjari

*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.