Ruka kwenda kwenye maudhui

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko Tornado Alley

Jisikie ukiwa nyumbani katika maeneo ambayo ni bora kwa ajili ya kukaa kuanzia mwezi mmoja au zaidi

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Nyumba ya kwenye mti huko Grandview
Nyumba ya Kwenye Mti ya Kifahari Wanandoa Getaway w/Mwonekano wa Amani
$5,754 kwa mwezi
MWENYEJI BINGWA
Nyumba ya kwenye mti huko Van Zandt County
Southern Dream-New Luxury Treehouse
$7,570 kwa mwezi
MWENYEJI BINGWA
Kuba huko Baileyville
Zome on the Range
$4,560 kwa mwezi
MWENYEJI BINGWA
Kontena la kusafirishia bidhaa huko Waco
The Helm—2-Story Container Home close to Magnolia Market
$4,317 kwa mwezi
PLUS

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja kwenye Airbnb

Starehe za nyumbani

Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.

Urahisi wa kubadilika unaohitaji

Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*

Bei rahisi za kila mwezi

Bei maalumu kwa sehemu za kukaa za muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*

Weka nafasi bila hofu

Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.

Sehemu zinazofaa kufanyia kazi

Kufanya kazi kumerahisishwa - pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.

Je, unatafuta nyumba za shirika?

Airbnb ina nyumba za fleti zilizo tayari kukaliwa zinazofaa kwa wafanyakazi, waliohamishwa na mahitaji ya kuhama.
*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.