Ruka kwenda kwenye maudhui

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko South Jakarta

Gundua sehemu za kupangisha za muda mrefu ambazo unahisi kama upo nyumbani kwa sehemu za kukaa za mwezi mmoja au zaidi.

Wakati matokeo yanapatikana, vinjari kwa kutumia vitufe vya vishale vya juu na chini au uchunguze kwa kugusa au kutelezesha kidole kwenye ishara.

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Kipendwa cha wageni
Fleti huko South Jakarta
Fleti yako ya @ WoodlandPark SouthJakarta
Okt 14 – Nov 13
$337 kwa mwezi
Kipendwa cha wageni
Fleti huko Kecamatan Pancoran
Kalibata - Kazi @nyumbani kwa Wageni 5 wenye Wi-Fi
Mac 6 – Apr 5
$315 kwa mwezi
Kipendwa cha wageni
Fleti huko Kecamatan Setiabudi
Fleti ya Mtindo wa Kisasa Kuvuka Jengo la Epiwalk
Ago 27 – Sep 24
$844 kwa mwezi
Kipendwa cha wageni
Fleti huko Pasar Minggu
Studio apt na infinity pool na android TV
Jan 9 – Feb 6
$364 kwa mwezi

Vistawishi na marupurupu kwa ajili ya ukaaji wa muda mrefu

Nyumba za kupangisha zilizo na samani

Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.

Urahisi wa kubadilika unaohitaji

Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*

Bei rahisi za kila mwezi

Bei maalumu kwa ajili ya upangishaji wa likizo ya muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*

Weka nafasi bila hofu

Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.

Sehemu zinazofaa kufanyia kazi kwa ajili ya wahamaji wa kidijitali

Je, wewe ni mtaalamu unayesafiri? Pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.

Je, unatafuta fleti zilizowekewa huduma?

Airbnb ina nyumba za fleti zilizo na samani kamili zinazofaa kwa wafanyakazi, makazi ya shirika na mahitaji ya kuhama.

Sehemu ya kukaa karibu na mandhari maarufu za South Jakarta

Kota KasablankaWakazi 103 wanapendekeza
Uwanja Mkuu wa Gelora Bung KarnoWakazi 26 wanapendekeza
Gandaria City MallWakazi 46 wanapendekeza
Pacific Place MallWakazi 76 wanapendekeza
Plaza SenayanWakazi 51 wanapendekeza
fX SudirmanWakazi 6 wanapendekeza

Maeneo ya kuvinjari

*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.