Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko Soacha

Gundua sehemu za kupangisha za muda mrefu ambazo unahisi kama upo nyumbani kwa sehemu za kukaa za mwezi mmoja au zaidi.

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Kipendwa cha wageni
Fleti huko Soacha
Fleti Nzuri karibu na CC Mercury
Apr 22 – Mei 20
$645 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 5.0 kati ya 5, tathmini 10
Mwenyeji Bingwa
Fleti huko Soacha
Cozy Green City
Jul 24 – Ago 21
$582 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.85 kati ya 5, tathmini 34
Kipendwa cha wageni
Roshani huko Bogotá
FLETI YA STUDIO YA ROSHANI
Mei 11 – Jun 8
$314 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.89 kati ya 5, tathmini 63
Kipendwa cha wageni
Fleti huko Bogotá
202 Privado+Básicos Destacado por R Calidad-Precio
Jun 2–30
$330 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.85 kati ya 5, tathmini 34

Vistawishi na marupurupu kwa ajili ya ukaaji wa muda mrefu

Nyumba za kupangisha zilizo na samani

Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.

Urahisi wa kubadilika unaohitaji

Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*

Bei rahisi za kila mwezi

Bei maalumu kwa ajili ya upangishaji wa likizo ya muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*

Weka nafasi bila hofu

Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.

Sehemu zinazofaa kufanyia kazi kwa ajili ya wahamaji wa kidijitali

Je, wewe ni mtaalamu unayesafiri? Pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.

Je, unatafuta fleti zilizowekewa huduma?

Airbnb ina nyumba za fleti zilizo na samani kamili zinazofaa kwa wafanyakazi, makazi ya shirika na mahitaji ya kuhama.

Sehemu ya kukaa karibu na mandhari maarufu za Soacha

Kituo cha Ununuzi cha Terreros VenturaWakazi 4 wanapendekeza
Terminal de Bogota Sur stationWakazi 3 wanapendekeza
ParqueWakazi 5 wanapendekeza

Maeneo ya kuvinjari

*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.