Ruka kwenda kwenye maudhui

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko Sharjah

Gundua sehemu za kupangisha za muda mrefu ambazo unahisi kama upo nyumbani kwa sehemu za kukaa za mwezi mmoja au zaidi.

Wakati matokeo yanapatikana, vinjari kwa kutumia vitufe vya vishale vya juu na chini au uchunguze kwa kugusa au kutelezesha kidole kwenye ishara.

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Mwenyeji Bingwa
Fleti huko Dubai
Studio ya ajabu karibu na Katikati ya Jiji
Jun 29 – Jul 27
$1,851 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.86 kati ya 5, tathmini 257
Kipendwa cha wageni
Fleti huko Dubai
Studio ya Chic iliyowekewa samani zote na Mtazamo wa Mfereji/Burj
Jun 11 – Jul 9
$1,833 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.89 kati ya 5, tathmini 132
Mwenyeji Bingwa
Fleti huko Sharjah
Fleti ya Kisasa ya Chumba kimoja cha kulala Nyuma ya Kituo cha Jiji
Jan 9 – Feb 6
$2,171 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.85 kati ya 5, tathmini 13
Mwenyeji Bingwa
Kondo huko Ajman
Fleti ya Kisasa ya Studio iliyo na mwonekano wa anga- roshani
Sep 1–29
$1,679 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.93 kati ya 5, tathmini 14

Vistawishi na marupurupu kwa ajili ya ukaaji wa muda mrefu

Nyumba za kupangisha zilizo na samani

Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.

Urahisi wa kubadilika unaohitaji

Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*

Bei rahisi za kila mwezi

Bei maalumu kwa ajili ya upangishaji wa likizo ya muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*

Weka nafasi bila hofu

Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.

Sehemu zinazofaa kufanyia kazi kwa ajili ya wahamaji wa kidijitali

Je, wewe ni mtaalamu unayesafiri? Pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.

Je, unatafuta fleti zilizowekewa huduma?

Airbnb ina nyumba za fleti zilizo na samani kamili zinazofaa kwa wafanyakazi, makazi ya shirika na mahitaji ya kuhama.

Sehemu ya kukaa karibu na mandhari maarufu za Sharjah

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa DubaiWakazi 57 wanapendekeza
Al Majaz WaterfrontWakazi 6 wanapendekeza
City Centre MirdifWakazi 24 wanapendekeza
Al Majaz ParkWakazi 7 wanapendekeza
Msikiti wa Al NoorWakazi 4 wanapendekeza
Al Mamzar Beach ParkWakazi 12 wanapendekeza

Maeneo ya kuvinjari

*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.