Ruka kwenda kwenye maudhui

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko North York

Jisikie ukiwa nyumbani katika maeneo ambayo ni bora kwa ajili ya kukaa kuanzia mwezi mmoja au zaidi

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Chumba cha kujitegemea huko North York
FREE parking- spacious, inexpensive room in bsmt
$886 kwa mwezi
MWENYEJI BINGWA
Chumba cha kujitegemea huko North York
Superhost Repost: Self Check-in Private Bedroom #2
$1,113 kwa mwezi
MWENYEJI BINGWA
Chumba cha kujitegemea huko North York
Private room, Free Parking & Self-Serve Breakfast
$679 kwa mwezi
MWENYEJI BINGWA
Chumba cha kujitegemea huko North York
Spacious Private Bedroom near Yonge&Finch Station
$1,230 kwa mwezi

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja kwenye Airbnb

Starehe za nyumbani
Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.
Urahisi wa kubadilika unaohitaji
Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*
Bei rahisi za kila mwezi
Bei maalumu kwa sehemu za kukaa za muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*
Weka nafasi bila hofu
Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.
Sehemu zinazofaa kufanyia kazi
Kufanya kazi kumerahisishwa - pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.
Je, unatafuta fleti zilizowekewa huduma?
Airbnb ina nyumba za fleti zilizo tayari kukaliwa zinazofaa kwa wafanyakazi, waliohamishwa na mahitaji ya kuhama.

Sehemu ya kukaa karibu na mandhari maarufu za North York

Picha ya Yorkdale Shopping Centre
Yorkdale Shopping CentreWakazi 712 wanapendekeza
Picha ya CF Fairview Mall
CF Fairview MallWakazi 197 wanapendekeza
Picha ya Ontario Science Centre
Ontario Science CentreWakazi 427 wanapendekeza
Picha ya Downsview Park
Downsview ParkWakazi 33 wanapendekeza
Picha ya CF Shops at Don Mills
CF Shops at Don MillsWakazi 118 wanapendekeza
Picha ya Centerpoint Mall
Centerpoint MallWakazi 45 wanapendekeza
*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.