Ruka kwenda kwenye maudhui

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko Lyon

Gundua sehemu za kupangisha za muda mrefu ambazo unahisi kama upo nyumbani kwa sehemu za kukaa za mwezi mmoja au zaidi.

Wakati matokeo yanapatikana, vinjari kwa kutumia vitufe vya vishale vya juu na chini au uchunguze kwa kugusa au kutelezesha kidole kwenye ishara.

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Mwenyeji Bingwa
Fleti huko Lyon
Fleti Lyon 6
Jan 4 – Feb 1
$1,069 kwa mwezi
Mwenyeji Bingwa
Fleti huko La Mulatière
STUDIO nzuri sana iliyokarabatiwa KARIBU NA KITOVU cha LYON
Jan 16 – Feb 15
$856 kwa mwezi
Mwenyeji Bingwa
Fleti huko Arrondissement 7E
Ukodishaji wa nyumba za kupangisha-Studio zenye samani za Lyon
Sep 1 – Okt 1
$719 kwa mwezi
Kipendwa cha wageni
Fleti huko Arrondissement 5E
Fleti nzuri yenye mwonekano wa ajabu Fourviere
Apr 8 – Mei 6
$1,469 kwa mwezi

Vistawishi na marupurupu kwa ajili ya ukaaji wa muda mrefu

Nyumba za kupangisha zilizo na samani

Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.

Urahisi wa kubadilika unaohitaji

Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*

Bei rahisi za kila mwezi

Bei maalumu kwa ajili ya upangishaji wa likizo ya muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*

Weka nafasi bila hofu

Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.

Sehemu zinazofaa kufanyia kazi kwa ajili ya wahamaji wa kidijitali

Je, wewe ni mtaalamu unayesafiri? Pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.

Je, unatafuta fleti zilizowekewa huduma?

Airbnb ina nyumba za fleti zilizo na samani kamili zinazofaa kwa wafanyakazi, makazi ya shirika na mahitaji ya kuhama.

Sehemu ya kukaa karibu na mandhari maarufu za Lyon

Vieux LyonWakazi 869 wanapendekeza
Place BellecourWakazi 571 wanapendekeza
ConfluenceWakazi 307 wanapendekeza
Halle Tony GarnierWakazi 96 wanapendekeza
Place des TerreauxWakazi 407 wanapendekeza
La Part DieuWakazi 776 wanapendekeza

Maeneo ya kuvinjari

*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.