Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko Ljubljana

Gundua sehemu za kupangisha za muda mrefu ambazo unahisi kama upo nyumbani kwa sehemu za kukaa za mwezi mmoja au zaidi.

Wakati matokeo yanapatikana, vinjari kwa kutumia vitufe vya vishale vya juu na chini au uchunguze kwa kugusa au kutelezesha kidole kwenye ishara.

Vistawishi na marupurupu kwa ajili ya ukaaji wa muda mrefu

Nyumba za kupangisha zilizo na samani

Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.

Urahisi wa kubadilika unaohitaji

Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*

Bei rahisi za kila mwezi

Bei maalumu kwa ajili ya upangishaji wa likizo ya muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*

Weka nafasi bila hofu

Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.

Sehemu zinazofaa kufanyia kazi kwa ajili ya wahamaji wa kidijitali

Je, wewe ni mtaalamu unayesafiri? Pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.

Je, unatafuta fleti zilizowekewa huduma?

Airbnb ina nyumba za fleti zilizo na samani kamili zinazofaa kwa wafanyakazi, makazi ya shirika na mahitaji ya kuhama.

Sehemu ya kukaa karibu na mandhari maarufu za Ljubljana

Ljubljana CastleWakazi 461 wanapendekeza
Hifadhi ya Mji ya TivoliWakazi 425 wanapendekeza
Tivoli ParkWakazi 409 wanapendekeza
BTC CityWakazi 267 wanapendekeza
MetelkovaWakazi 139 wanapendekeza
National Gallery (Narodna Galerija)Wakazi 159 wanapendekeza

Maeneo ya kuvinjari

*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.
  1. Airbnb
  2. Slovenia
  3. Ljubljana Region
  4. Ljubljana
  5. Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja