Ruka kwenda kwenye maudhui

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko Georgia

Jisikie ukiwa nyumbani katika maeneo ambayo ni bora kwa ajili ya kukaa kuanzia mwezi mmoja au zaidi

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

MWENYEJI BINGWA
 1. Hema
 2. Stone Mountain
Lakeside tent at Ramsden Lake
$3,648 kwa mwezi
MWENYEJI BINGWA
 1. Kijumba
 2. Clayton
Little Red Roof, a tiny house in the mountains!
$2,830 kwa mwezi
MWENYEJI BINGWA
 1. Nyumba ya kwenye mti
 2. Dahlonega
Nature’s Nook- A Modern Treehouse
$6,430 kwa mwezi
 1. Nyumba ya mbao nzima
 2. Chatsworth
Cozy a-frame in North Georgia mountains w/ hot tub
$3,229 kwa mwezi

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja kwenye Airbnb

Starehe za nyumbani
Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.
Urahisi wa kubadilika unaohitaji
Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*
Bei rahisi za kila mwezi
Bei maalumu kwa sehemu za kukaa za muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*
Weka nafasi bila hofu
Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.
Sehemu zinazofaa kufanyia kazi
Kufanya kazi kumerahisishwa - pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.
Je, unatafuta nyumba za shirika?
Airbnb ina nyumba za fleti zilizo tayari kukaliwa zinazofaa kwa wafanyakazi, waliohamishwa na mahitaji ya kuhama.

Pata starehe za nyumbani na bei bora kwa ajili ya upangishaji wako wa kuanzia mwezi mmoja

 • Nafasi kwa kila mtu
 • Wafanyakazi walio safarini
 • Likizo zenye amani
 • Inafaa kwa wanyama vipenzi

Sehemu ya kukaa huko Georgia

Wakazi wanashiriki mapendekezo maarufu ya kitongoji chao ili kukusaidia kupata sehemu ya kukaa kwa safari yako.

Picha ya Buckhead
Buckhead
Picha ya East Atlanta Village
East Atlanta Village
Picha ya Downtown Atlanta
Downtown Atlanta
*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.