Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko Bucharest

Gundua sehemu za kupangisha za muda mrefu ambazo unahisi kama upo nyumbani kwa sehemu za kukaa za mwezi mmoja au zaidi.

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Kipendwa cha wageni
Kondo huko Sector 1
Studio ya Bustani ya Kati ⭐⭐⭐⭐⭐
Mac 1–29
$930 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.81 kati ya 5, tathmini 136
Kipendwa cha wageni
Fleti huko Sector 1
Porte Bonheur Studio katika Dorobanti- NETFLIX
Nov 12 – Des 10
$1,239 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.93 kati ya 5, tathmini 160
Kipendwa cha wageni
Fleti huko Sector 3
Studio ya kisasa yenye mandhari ya kuvutia
Mac 3–31
$659 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.91 kati ya 5, tathmini 11
Mwenyeji Bingwa
Fleti huko Sector 1
Fleti ya Downtown, Bucharest
Apr 26 – Mei 24
$639 kwa mwezi
Ukadiriaji wa wastani wa 4.87 kati ya 5, tathmini 46

Vistawishi na marupurupu kwa ajili ya ukaaji wa muda mrefu

Nyumba za kupangisha zilizo na samani

Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.

Urahisi wa kubadilika unaohitaji

Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*

Bei rahisi za kila mwezi

Bei maalumu kwa ajili ya upangishaji wa likizo ya muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*

Weka nafasi bila hofu

Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.

Sehemu zinazofaa kufanyia kazi kwa ajili ya wahamaji wa kidijitali

Je, wewe ni mtaalamu unayesafiri? Pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.

Je, unatafuta fleti zilizowekewa huduma?

Airbnb ina nyumba za fleti zilizo na samani kamili zinazofaa kwa wafanyakazi, makazi ya shirika na mahitaji ya kuhama.

Sehemu ya kukaa karibu na mandhari maarufu za Bucharest

Hifadhi ya CișmigiuWakazi 558 wanapendekeza
AFI CotroceniWakazi 216 wanapendekeza
Mega MallWakazi 74 wanapendekeza
Băneasa Shopping CityWakazi 152 wanapendekeza
Kituo cha Ununuzi cha ParkLakeWakazi 89 wanapendekeza
Romanian AthenaeumWakazi 333 wanapendekeza

Maeneo ya kuvinjari

*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.