
Nyumba ya kupangisha isiyo na ghorofa
Pata na uweke nafasi kwenye malazi ya kipekee kwenye Airbnb
Nyumba zisizo na ghorofa zenye ukadiriaji wa juu
Nyumba zisizo na ghorofa za kupangisha zilizo ufukweni
Nyumba ya ghorofa ya kupangisha yenye Wi-Fi
Nyumba ya ghorofa ya kupangisha yenye bwawa
Una maswali?
Ni maeneo gani bora ya kupata nyumba za kupangisha zisizo na ghorofa?
Maeneo bora ya kupata nyumba za kupangisha zisizo na ghorofa hutegemea tukio unalotaka, lakini baadhi ya maeneo yanayopendwa zaidi kwa nyumba za kupangisha zisizo na ghorofa ni Atlanta, Austin na Tampa. Ikiwa unatafuta aina mahususi za sehemu za kukaa na unaweza kubadilika kulingana na mahali pa kwenda, vinjari Aina za Airbnb ili uchunguze fursa zote.
Je, nyumba zisizo na ghorofa za kupangisha zinawafaa wanyama vipenzi?
Tunajua kwamba kusafiri na wanyama vipenzi kunafanya safari iwe ya kufurahisha zaidi. Wenyeji wanajiwekea sera yao kwa ajili ya wanyama vipenzi, na kuna sehemu nyingi za kukaa ambazo zinamkaribisha rafiki yako wa dhati kwenye Airbnb. Ili kuhakikisha mnyama wako kipenzi anajisikia staehe kadiri iwezekanavyo, baadhi ya Wenyeji hata hutoa vistawishi vinavyowafaa wanyama vipenzi kama vile kuwakarimu, matandiko na sehemu za kucheza za nje. Weka alama ya vema kwenye kisanduku cha "Wanyama vipenzi wanaruhusiwa" chini ya Sheria za Nyumba ili upate sehemu ya kukaa inayokufaa.