Ruka kwenda kwenye maudhui
Kila nyumba ni kituo

Kila nyumba ni kituo

Luxury Retreats bora zaidi sasa ni Airbnb Luxe—inayotoa nyumba bora zaidi ulimwenguni zenye kiwango cha huduma cha juu zaidi.
Nyumba za ajabu zaidi duniani
Nyumba nadhifu zilizobuniwa kitaalamu na zilizo na vistawishi na huduma za kifahari, pamoja na wabunifu mahususi wa safari.
Tofauti ya Airbnb Luxe
Zimebuniwa kitaalamu
Nyumba za kupigiwa mfano zenye ubunifu wa ndani wa kipekee kabisa.
Vistawishi vya kifahari
Ina kila kitu ili kukidhi mahitaji yako, pamoja na nafasi ya kutosha na faragha.
Mipangilio mahususi ya utaratibu wa safari
Mbunifu wako wa safari anaweza kupanga kila kitu kikamilifu na kuhakikisha kila kitu kiko sawa kabisa.
Ukaguzi wa alama 300 na zaidi
Kila nyumba imethibitishwa kuwa katika hali nadhifu na inakarabatiwa kwa uangalifu sana.
Kuwasili bila shida
Kuchukuliwa kibinafsi kutoka uwanja wa ndege, makaribisho ya ana kwa ana na nyumba iliyojazwa bidhaa ni baadhi ya vitu vyetu vya ziada viilivyoangaziwa.
Huduma maalumu
Kuanzia wapishi binafsi hadi wataalamu wa tiba za kuchua misuli, timu ya weledi wakazi wapo kwa ajili yako.
Safari zilizobuniwa na mtu binafsi
Unapoweka nafasi kwenye nyumba ya Airbnb Luxe, utaunganishwa na mbunifu mahususi wa safari ambaye atatayarisha sehemu yako ya kukaa ya nyota tano.
Mpishi mkuu
Dereva
Vifaa vya kukodisha
Huduma ya watoto
Mhudumu Mkuu
Kuchua