Punguzo
Punguzo
- Jinsi ya kufanya
Kutuma ofa maalumu
Ikiwa mgeni mtarajiwa atakutumia ujumbe kabla ya kuweka nafasi, unaweza kumtumia bei mahususi, au ofa maalumu, ndani ya uzi wa ujumbe. - Jinsi ya kufanya
Unda promosheni mahususi
Pata kujua jinsi ya kuunda promosheni mahususi kwa ajili ya tangazo lako. - Jinsi ya kufanya
Badilisha au uondoe ofa maalumu
Unaweza kubadilisha au kuondoa ofa maalumu maadamu mgeni hajaikubali. - Jinsi ya kufanya
Tarehe za promosheni
Kwa aina fulani za promosheni, Airbnb itatambua tarehe ambazo promosheni inaweza kuwa na matokeo zaidi katika kuwavutia wageni. - Masharti ya kisheria
Sera ya Punguzo ya Mwenyeji
Sheria na masharti haya yanatumika kwa Wenyeji wanaotoa mapunguzo kwenye bei ya Tangazo (Matangazo) lao ("Sera ya Punguzo ya Mwenyeji"). - Jinsi ya kufanya
Kwa nini siwezi kuweka tangazo mahususi kwa baadhi ya tarehe?
Tunajaribu kuonyesha tu bei ambazo ni ofa nzuri kwa wageni, kwa hivyo si kila tarehe itastahiki promosheni mahususi. - Jinsi ya kufanya
Kwa nini promosheni mahususi hazipatikani kwa ajili ya tangazo langu?
Matangazo ya Luxe na hoteli hayastahiki promosheni mahususi. Tangazo lako pia lazima liwe na angalau nafasi 3 zilizowekwa kabla ya kustahiki… - Jinsi ya kufanya
Kwa nini bei zangu hubadilika ninapounda promosheni mahususi?
Tunahakikisha kuwa promosheni ni mapunguzo ya kweli—hiyo inamaanisha bei yako mpya inahitaji kuwa chini ya bei yako ya kawaida kwa tarehe hi… - Sheria
Kwa nini promosheni yangu iliondolewa?
Tunaweza kuondoa promosheni tukitambua kuwa bei yake ya punguzo inapotosha. - Jinsi ya kufanya
Kwa nini mtindo wangu wa punguzo unaonekana tofauti katika maeneo mengine?
Mtindo wa punguzo, kama vile beji za bei ya chini au bei zilizopigwa kistari, unaweza kuonekana tofauti kwa wageni katika baadhi ya maeneo, … - Jinsi ya kufanya
Jinsi mapunguzo yanavyotumika
Rejelea makala hii unapotumia mapunguzo mbalimbali