Bei mahususi
Bei mahususi
- Jinsi ya kufanyaWeka bei ya kila usiku na uifanye iwe mahususiHariri tangazo lako ili kudhibiti bei yako ya kila usiku. Mabadiliko yoyote unayofanya yatatumika tu kwenye nafasi zitakazowekwa siku zijazo…
- Jinsi ya kufanyaMapunguzo ya kila wiki na kila mweziIkiwa ungependa kutoza malipo kidogo kwa sehemu za kukaa za muda mrefu, unaweza kuweka punguzo la kila wiki na/au la kila mwezi.
- Jinsi ya kufanyaBei ya wikendiUnaweza kutumia bei ya wikendi kubadilisha bei yako ya msingi ya usiku kwa kila usiku wa Ijumaa na Jumamosi.
- Jinsi ya kufanyaUpangaji Bei KiotomatikiUpangaji Bei Kiotomatiki hukuwezesha kuweka bei zako ili zipande au kushuka kiotomatiki kulingana na mahitaji ya matangazo kama yako.
- Jinsi ya kufanyaUpangaji Bei Kiotomatiki wakati wa majanga na dharuraTunaweza kuzima kwa muda Upangaji Bei Kiotomatiki ili kuzuia mabadiliko makubwa mno ya bei na ili kuzingatia sheria za eneo husika wakati wa…