Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Upangaji bei

Mambo ya msingi kuhusu upangaji bei

  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Kuweka bei ya tangazo lako

    Kama Mwenyeji, sikuzote unasimamia bei zako. Unaweza kuibadilisha wakati wowote, wewe ndiwe unayedhibiti.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Weka bei ya kila usiku na uifanye iwe mahususi

    Hariri tangazo lako ili kudhibiti bei yako ya kila usiku. Mabadiliko yoyote unayofanya yatatumika tu kwenye nafasi zitakazowekwa siku zijazo.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Hakiki mchanganuo wa bei yako

    Unaweza kutumia kipengele cha mchanganuo wa bei ya kila usiku ili kuhakiki kile ambacho mgeni wako atalipa na kile utakachojipatia.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Hakiki kiasi ambacho wageni wanalipa

    Unaweza kuhakiki kiasi ambacho wageni watalipa ili wakae kwenye sehemu yako kwa kwenda kwenye kalenda ya matangazo yako, kuchagua tarehe na kubofya au kugusa Jumla ya wageni.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Matangazo yanayofanana

    Kutumia matangazo kama hayo hukuruhusu kulinganisha tangazo lako na mengine ili kukusaidia kuweka bei yenye ushindani.

Bei mahususi

Ada na tozo

  • Jinsi ya kufanya

    Ada za Huduma za Airbnb

    Ili kusaidia Airbnb ijiendeshe bila shinda na kumudu gharama za bidhaa na huduma tunazotoa, tunatoza ada ya huduma wakati nafasi iliyowekwa imethibitishwa.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Weka ada za usafi

    Ada ya usafi huwasaidia wenyeji kushughulikia gharama za ziada zinazotokana na kutayarisha tangazo lao kabla ya wageni kuwasili au kuondoka.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Weka ada ya mgeni wa ziada

    Unaweza kuweka ada kwa kila mgeni ambaye uko tayari kuweka zaidi ya kikomo chako cha kawaida.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Weka ada ya mnyama kipenzi

    Ukichagua kutoza ada ya mnyama kipenzi, itasambazwa kwa usawa wakati wa ukaaji na kuonyeshwa kama sehemu ya bei ya kila usiku na katika jumla ya bei wakati wa kulipa.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Wenyeji Weledi: Weka ada za ziada kwenye tangazo lako

    Nyenzo za ukaribishaji wageni wa kiweledi zinakuruhusu kuweka ada za ziada, ikiwemo ada za risoti.
  • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

    Weka ada za ziada

    Unaweza kurekebisha mkakati wako wa kupanga bei kwa kujumuisha ada 3 za ziada na ada 4 zaidi ukitumia nyenzo zetu za ukaribishaji wageni wa kiweledi.

Punguzo