
Pata sehemu za kukaa kwenye Airbnb
Gundua nyumba nzima na vyumba vinavyofaa kwa safari yoyote.

Furahia urahisi fulani wa kubadilika
Sehemu za kukaa zenye kughairi kunakoweza kubadilika hufanya iwe rahisi kuweka nafasi tena ikiwa mipango yako itabadilika.

Zaidi ya matangazo milioni 7 ambayo ni amilifu
Jiunge na zaidi ya wageni bilioni 1 ambao wamepata likizo katika zaidi ya nchi na maeneo 220.

Vichujio 100 na zaidi kwa ajili ya sehemu mahususi za kukaa
Chagua kiwango cha bei yako, idadi ya vyumba unavyotaka na vistawishi vingine muhimu ili upate sehemu ya kukaa inayofaa mahitaji yako.
Kubwa, ndogo, tunazo zote

Ikiwa unahitaji sehemu ya ziada, pata nyumba nzima ambapo utakaa peke yako.

Kaa katika baadhi ya maeneo yanayofaa zaidi yenye sehemu katika majengo ya pamoja.

Furahia sehemu yako mwenyewe ya kulala na ushiriki eneo la pamoja na wengine.
Tafuta vistawishi mahususi unavyopenda
Chagua kutoka kwenye vipengele maarufu kama hivi na zaidi, kwa ajili ya sehemu ya kukaa iliyofanywa kuwa mahususi.
Maswali yako yamejibiwa
Airbnb ni nini na inafanya kazi vipi?
Tunathibitisha wasifu na matangazo binafsi ili kufanya kushiriki kuwe rahisi, kuwe wa kufurahia na salama kwa mamilioni ya Wenyeji na wasafiri ulimwenguni kote. Pata maelezo zaidi kuhusu Airbnb.
Ninawezaje kutumia vichujio vya utafutaji?
Ni rahisi kutumia vichujio vyetu vya utafutaji ili kuonyesha tu matangazo ambayo yana vipengele unavyohitaji. Pata maelezo zaidi kuhusu kutumia vichujio vya utafutaji na ugundue njia za kutafuta zinazoweza kubadilika zaidi.
Je, ninahitaji kukutana na Mwenyeji wangu?
Machaguo kama vile huduma ya kuingia mwenyewe au kuweka nafasi ya nyumba nzima yanakuruhusu kuingiliana na Mwenyeji wako hasa kupitia ujumbe wa ndani ya programu, unaweza kumtumia ujumbe wakati wowote iwapo jambo litatokea.
Itakuwaje ikiwa ninahitaji kughairi kwa sababu ya tatizo la tangazo au Mwenyeji?
Katika hali nyingi, unaweza kutatua matatizo yoyote moja kwa moja kwa kutuma ujumbe kwa mwenyeji wako. Ikiwa hawezi kukusaidia, wasiliana tu na Airbnb ndani ya saa 24 baada ya kugundua tatizo hilo. Pata maelezo zaidi
Unahitaji taarifa zaidi?
Tembelea Kituo chetu cha Msaada ili upate majibu ya ziada kwa maswali yako. Pata maelezo zaidi