Baadhi ya taarifa imetafsiriwa kiotomatiki. Onyesha lugha ya awali

Mtandao wa Wenyeji Wenza wa Houston

Mtandao wa Wenyeji Wenza hufanya iwe rahisi kuajiri mwenyeji mwenza mkazi mwenye uzoefu ili atunze nyumba yako na wageni.

Hujui uanzie wapi?

Tupe maelezo machache na tutawasiliana nawe ili kujibu maswali yoyote na kukusaidia kupata mwenyeji mwenza anayekidhi mahitaji yako.

Kwa kuchagua "Pata msaada", unakubali kuwasiliana na Airbnb na washirika wake kuhusu Mtandao wa Wenyeji Wenza kupitia barua pepe au simu na unakubali Sera ya Faragha ya Airbnb na unakubaliana na Masharti ya Ziada ya Mtandao wa Wenyeji Wenza.

Wenyeji wenza wanaweza kukusaidia kwa jambo moja au kila kitu

Kuweka tangazo

Kuweka bei na upatikanaji

Usimamizi wa maombi ya kuweka nafasi

Kumtumia mgeni ujumbe

Usaidizi kwa wageni wa kwenye eneo

Usafi na utunzaji

Upigaji Picha wa Nyumba

Usanifu wa mambo ya ndani na mtindo

Vibali vya leseni na kukaribisha wageni

Huduma za ziada

Wenyeji wenza wakazi hufanya hivyo vyema zaidi

Wenyeji wenza katika eneo lako wanaweza kukusaidia kumudu kanuni za mahali ulipo na kufanya nyumba yako ionekane.

Mary

Houston, Texas

Mimi ni mwenyeji bora huko Galveston Texas lakini ninaishi Houston. Nilianza kukaribisha wageni mwaka 2016 na ninafurahia sana kuwasaidia wenyeji wapya kuunda matangazo mazuri.

4.95
ukadiriaji wa mgeni
9
miaka ya uzoefu akikaribisha wageni

Ramiro

Houston, Texas

Nina uzoefu katika kukaribisha wageni, uuzaji wa kidijitali na usimamizi wa wageni, nikilenga kuongeza mapato na kuunda sehemu za kukaa zinazovutia.

5.0
ukadiriaji wa mgeni
1
mwaka wa uzoefu akikaribisha wageni

Maria

Houston, Texas

MBA + mwenyeji mwenza wa Airbnb wa nyumba za kifahari mwenye uzoefu wa miaka 10 anayetumia uchambuzi unaotegemea data ili kuongeza mapato, kulinda nyumba yako na kutoa ukaaji wa kipekee wa nyota 5.

4.92
ukadiriaji wa mgeni
10
miaka ya uzoefu akikaribisha wageni

Ni rahisi kuanza

  1. 01

    Weka eneo la nyumba yako

    Chunguza wenyeji wenza waliopo huko Houston, pamoja na wasifu wao na ukadiriaji wa wageni.
  2. 02

    Wafahamu baadhi ya wenyeji wenza

    Tuma ujumbe kwa wenyeji wenza wengi kadiri upendavyo na utakapokuwa tayari, mwalike mmoja awe mwenyeji mwenza wako.
  3. 03

    Shirikiana kwa urahisi

    Tuma ujumbe kwa mwenyeji mwenza wako moja kwa moja, mpe ufikiaji wa kalenda yako na kadhalika.

Maswali yaulizwayo mara kwa mara

Tafuta wenyeji wenza katika maeneo yako