Ruka kwenda kwenye maudhui
TUNAWALETEA

Matukio ya Mtandaoni ya Wanaolimpiki na Wanaolimpiki Walemavu

Ungana na wanariadha bora zaidi ulimwenguni

Jiunge na shughuli za kipekee zinazoandaliwa na wanariadha bora kabisa ulimwenguni. Abiri kwenye bahari za mtandaoni ukiwa na bingwa wa kuendesha yoti, jifunze tiba ya sehemu za maumivu ukiwa na mrukaji kwa upondo na ujivumbue mwenyewe ukiwa na mwendeshaji Mnaijeria wa kigari cha kwenye barafu.

Tazama matukio ya zamani

Una hamu ya kujua ni vipi? Onja matukio haya ya zamani ili ujigundulie mwenyewe.

Kutana na wanariadha katika makundi madogo

Ungana moja kwa moja na Wanaolimpiki na Wanaolimpiki Walemavu katika miji ambamo wanafanyia mazoezi. Moja kwa moja ukiwa nyumbani.