Ruka kwenda kwenye maudhui

Hebu twende kwenye safari za uwandani

Jiunge na jasura za kimataifa zinazowafaa watoto ukiwa na wenyeji wenye kuhamasisha—moja kwa moja na mtandaoni.

Matukio ya Mtandaoni: Safari za Uwandani

Ogelea ukiwa na mtaalamu wa papa nchini Afrika Kusini, gundua Pompeii ukiwa na mtaalamu wa vitu vya kale nchini Italia na usimbue 2020 ukiwa na Bill Nye the Science Guy. Yote ukiwa nyumbani.

Jifunze na wenyeji weledi ulimwenguni kote

Jasura za ulimwengu
Pata mitazamo mipya—kuanzia Sri Lanka hadi Afrika Kusini hadi angani.
Ukiwa na wenyeji weledi
Jiunge na walimu wageni wanaowafaa watoto kupitia madarasa ya maingiliano na shughuli.
Yote ukiwa nyumbani
Jiunge na wataalamu moja kwa moja kwenye Zoom kutoka kwenye simu janja yako, tabuleti, au kompyuta.

Gundua Sanaa

Kusafiri kupitia Historia ya Ulimwengu

Fanya hesabu kupitia Hisabati na Sayansi

Fanya mazoezi na P.E. & Play

Vitafunio kote ulimwenguni