Ruka kwenda kwenye maudhui
Open Homes · Ukaaji kwa ajili ya matibabu
Kuwa mwenyeji wa watu wanaohitaji uangalizi mkubwa na likizo ya kujiliwaza
Wape watu wanaohitaji sehemu ya kukaa, kwa muda mfupi bila malipo.
Partners and guestsPartners and guests
Nancy na Pearl kutoka Fisher House
Partners and guestsPartners and guests
Open Homes · Ukaaji kwa ajili ya matibabu
Kuwa mwenyeji wa watu wanaohitaji uangalizi mkubwa na likizo ya kujiliwaza
Wape watu wanaohitaji sehemu ya kukaa, kwa muda mfupi bila malipo.
Watu wengi huhitaji kusafiri kwa sababu za matibabu na mara nyingi gharama za ukaaji wa muda zinaweza kuwa kizuizi kikubwa cha kupata matibabu ya kuokoa maisha au utulivu muhimu wakati wa kupata ahueni. Kuwa na makazi ya muda mfupi bila malipo kunaweza kusaidia kupunguza matatizo ya kifedha ya mgonjwa, huku kukimpa tumaini na nguvu anazohitaji kushinda ugonjwa.
Hapo ndipo msaada wa jumuiya ya Open Homes hutumika. Wenyeji wanaweza kutoa nafasi ya bure na ya kukaribisha ili watu wapone.

Nyumba yako inaweza kumpa mtu utulivu wa akili anaohitaji ili kupona.

Asante sana! Tulicheka, tukacheza densi, tukapika, tukazuru na kuishi. Imekuwa muda mrefu tangu tuishi.
Maria
Mgeni wa Make-A-Wish
Asante sana! Tulicheka, tukacheza densi, tukapika, tukazuru na kuishi. Imekuwa muda mrefu tangu tuishi.
Maria
Mgeni wa Make-A-Wish

Jinsi utakavyokaribisha wageni

UKAAJI WA KIMATIBABU
Open Homes hushirikiana na mashirika yasiyotengeneza faida kama vile Fisher House Foundation ili kuwapa wagonjwa makao karibu na vituo vya matibabu. Wakati wa ukaaji huu, jukumu lako ni kutoa nafasi nzuri ya kukaa wakati wao au mpendwa wao anapokea matibabu katika hospitali ya karibu.
Wagonjwa watasindikizwa na familia zao au mtunzaji wao. Pia watakuwa na mratibu aliyejitolea wa kuwapa msaada katika muda wote wa ukaaji wao. Ukaaji huu mara nyingi uwa ni wa wiki 1 hadi 2.

Open Homes hushirikiana na mashirika yasiyo ya faida kama vile Make-A-Wish ili kuwapa makazi watoto wagonjwa sana pamoja na familia zao ambao hupewa likizo fupi ya kujiliwaza. Safari hizi zinaweza kuwa na mchango mkubwa katika kupona kwao. Jukumu lako litakuwa kutoa nafasi ya kukaribisha familia ili watulie na kupatana.
Watakuwa na mratibu wa kujitolea wa kuwapa msaada katika muda wote wa ukaaji wao. Ukaaji huu mara nyingi huwa siku 5 hadi 10.

Mratibu kutoka Hospitality Homes alikuwa mzuri kwa kila jambo. Alipanga familia ya watu wanne wakae katika eneo letu kwa usiku mmoja. Alikuwa mwema sana na ilikuwa rahisi kuwasiliana naye. Alinipa taarifa zote nilizohitaji kuhusu familia na akawapa maelezo kuhusu sheria za nyumba yetu, nk. Familia ilikuwa nzuri pia. Ilitupa wote hisia nzuri.
Jennifer
Mwenyeji wa Airbnb

Inavyofanya kazi

Marie
Paris, Ufaransa
Nilizaliwa na kulelewa jijini Paris, na nina hamu kubwa ya kufungua sehemu yangu na kutoa mazingira salama na ya starehe.
1
Tengeneza wasifu
Utaombwa kutoa maelezo ya msingi kama vile jina lako kamili, picha ya wasifu, na anwani ya barua pepe. Unaweza pia kushiriki kile kilichokuchochea kukaribisha wageni.

2
Unda tangazo
Tueleze kuhusu pale ilipo sehemu yako, idadi ya watu ambao wanaweza kukaa huko, na wakati ambapo inapatikana. Ikiwa tayari wewe ni mwenyeji, unaweza kuchagua tangazo lililopo.
Nyumba nzima
Nyumba ya kusaidia
Wageni 3
Studio
Vitanda 2
Bafu 1

Hujambo Marie,
Nafanya kazi kwa shirika lisilo la faida ambalo hutoa usaidizi na rasilimali kwa watu wanapotafuta matibabu kwa sula la kimatibabu.
3
Jibu maombi
Wageni watakutumia ujumbe ikiwa wanafikiria mahali pako ni pazuri, mtu wa shirika lisilo la faida anayeweka nafasi kwa niaba ya wateja wake atawasiliana nawe. Unaweza kuuliza maswali, kukubaliana kuhusu mipango, na kuweka matarajio kuhusu ukaaji kabla ya kitu chochote kuwa rasmi.

4
Jiandae kukaribisha wageni
Timu yetu iko hapa kukusaidia ikiwa una maswali yoyote unapojiandaa kwa ukaaji wa mgeni wako. Tutakupa rasilimali na majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara. Unaweza pia kuwasiliana na mashirika yasiyo ya faida au mgeni ikiwa una maswali yoyote kuhusu ukaaji wao unaokuja. Wagonjwa kwa kawaida wataandamana na familia zao au mlezi, na pia watakuwa na mratibu aliyejitolea wa shirik lisilo mla faida atakayewapa usaidizi wakati wote wa ukaaji wao.

Mpango wa Airbnb Open Homes umeisaidia Hospitality Homes kuhudumia wageni wengi zaidi - wengi ambao mara nyingi huingia kwenye orodha yetu ya kusubiri - kwa kutoa ukaaji wa Airbnb bila malipo kwa muda wa wiki mbili wakati ambapo nguvu za kiakili, kimwili na kifedha za familia zimekwisha.
Marianne Jones
Mkurugenzi Mtendaji, Hospitality Homes

Jinsi tunavyokusaidia

Tunajua hili linaweza kuwa kama jukumu kubwa. Ndiyo sababu tunajitahidi tuwezavyo ili kutoa rasilimali na ulinzi kabla na wakati wa ukaaji.
Rasilimali na usaidizi wa simu saa 24
Hauko peke yako katika jambo hili. Mbali na timu ya Airbnb ya usaidizi kwa wateja ya saa 24, utaweza kufikia timu maalumu kwa maswali yoyote kuhusu uwekaji nafasi wa Open Home.
Malipo ya kufidia uharibifu wa mali
Ijapokuwa uharibifu usiotarajiwa huwa ni nadra sana kutokea, tunaelewa kwamba unaweza kuhitaji ulinzi. Garantii ya Mwenyeji itafidia kila mwenyeji kwa uharibifu wa mali wa hadi USD 1,000,000.

Maswali yako yamejibiwa

Open Homes ni nini?

Open Homes connects people with a free place to stay in times of need. The idea for Open Homes came from Airbnb hosts in 2012. After Hurricane Sandy hit New York, hosts decided to offer their homes for free to neighbors who were forced to evacuate. Inspired by their generosity, Open Homes became an official part of Airbnb.

Since then, it’s expanded to support evacuees, relief workers, medical patients, refugees and asylum seekers. We partner with trusted nonprofits like Mercy Corps, the International Rescue Committee, and the Bone Marrow & Cancer Foundation to develop the program and connect their clients with a free place to stay in times of need.

Open Homes stays are always free for the guests. Some hosts choose to host Open Homes stays for free by signing up with the Open Homes community. If you haven't signed up to host guests for free on Open Homes, you'll still receive your usual payment for your listing when you have an Open Homes booking. Airbnb waives all service fees for these reservations.

Ni nani anayeweza kukaribisha wageni kwenye Open Homes?

Open Homes hosts have many of the same expectations as regular Airbnb hosts. Hosts must meet Airbnb’s hospitality standards, which include accurately representing your listing and availability, as well as providing a safe, secure, and clean space for guests. All hosts and guests are required to uphold Airbnb’s community standards.

Almost anyone can sign up to be an Open Homes host. The listings available on the site are as diverse as the hosts who list them, and you can post shared spaces, private rooms, or entire homes. Find out more about home types to see how to describe your space.

Sometimes a staff member from one of our nonprofit partners will book on behalf of their client and may have additional requests based on their client’s needs. In these cases, the nonprofit staff member will communicate with the host ahead of time to make sure your space is a good fit.

,
Ni nani anayestahili kuweka nafasi katika Ophen Homes zangu?

Open Homes provides free places to stay for people in times of need. The program supports evacuees, relief workers, medical patients and their caregivers, refugees, and asylum seekers.

If you’re a guest in need of emergency housing, learn more about how to book an Open Homes stay. Check this article and the Open Homes page regularly to find the most current programs and eligibility requirements, which are subject to change.

Disaster relief

In the aftermath of a disaster, there is a critical need for emergency housing. In this instance, people impacted by the disaster, including relief workers, have the ability to submit their request for housing to Airbnb. After verification, they may book an Open Homes listing directly for themselves.

To be eligible for emergency housing, guests must reside in the impacted area or be a relief worker responding in an official capacity. Both permanent residents and travelers with a confirmed hotel or rental reservation are eligible. Guests are required to provide proof of address or confirmation of employment during the application process. Once they submit their application, their information will be reviewed by Airbnb or its vendors before they can book.

Learn more about Disaster relief stays.

Medical stays

Every day, people travel far from home for medical treatment. They may be receiving care, supporting a patient, or healing with family during a difficult time. In this instance, guests can book an Open Homes reservation directly for themselves, or a staff member from a nonprofit organization may book the reservation on their behalf.

In order to book, guests must be referred by a nonprofit partner. Each nonprofit has their own set of eligibility criteria for guests.

Learn more about Medical stays.

Refugee housing

There are many barriers for people who are trying to rebuild their lives in a new place. Before settling into permanent housing, refugees and asylum-seekers need to finalize paperwork, search for jobs, and find a temporary place to stay. In this instance, a staff member from a nonprofit will book an Open Homes reservation on behalf of the guest. All guests have the legal status of a recognized refugee entitled to international protection as determined by the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR) and/or have begun the process of seeking asylum in the country where they currently reside.

Learn more about Refugee housing.

,
Je, nitawekaje nafasi kwenye sehemu ya kukaa ya Open Homes?

Open Homes provides free places to stay for people in times of need. In order to book an Open Homes stay as a guest, you must meet eligibility requirements and be approved.

Applying for a stay

Disaster relief

If you've been impacted by a disaster and are in need of emergency housing, go to our Disaster Relief page to find events that qualify for an Open Homes stay. If you can't ind the event that you've been impacted by, free stays are not currently available.

Once you find an event, log into or create an Airbnb account to confirm your address. You’ll need to answer a few questions and agree to our Community Standards and the Airbnb Terms of Service.

After you submit your request, we may call you to check on additional details. If we can’t verify your information or it doesn’t meet our eligibility criteria, you’ll receive an email within 24 hours.

Medical stays or refugee housing

To be approved for a Medical stay or Refugee housing, you must be referred by a nonprofit partner. It isn't possible to apply for an Open Homes Medical stay or Refugee housing as an individual at this time. 

Learn more about the nonprofits that we partner with on the Open Homes page.

Booking a stay

If you’re approved, you'll receive an email inviting you to browse available stays. Here are a few tips to keep in mind:

 • Read all of the information in the email invitation. It will tell you more about what kind of stay you can book.
 • You may need to book your stay within certain dates. Make sure to refer to your email invitation for this information.
 • Check the listing details, like number of bedrooms and amenities, as well as the photos to confirm a place is a good fit. If you have any questions, reach out to the host by clicking or tapping Contact host on the listing page.
 • Make sure your stay is booked for the purpose defined by each program. If a stay doesn’t meet the program requirements, it'll be canceled according to the host’s cancellation policy.

  ,
  Ninajiandaa vipi wageni wa Open Homes?

  Whether you signed up to host for free on Open Homes or have received an Open Homes booking request, here are a few things to keep in mind to help you prepare for your guests:

  • Communicate clearly
  • Try to learn about their needs and how you can help make their stay more comfortable
  • Unlike regular guests on Airbnb, Open Homes guests are often traveling due to unexpected and difficult circumstances. Remember that everyone responds differently and has different needs
  • Make sure you’re accessible to your guests and easy to communicate with
  • Explain the check-out time and process to your guests beforehand. Include your expectations about cleaning the listing, if any

  Hosting an Open Homes stay can be different across programs. Many guests referred by a nonprofit will have the support of a staff member throughout. You can learn more on our dedicated sites:

  Learn more about Airbnb’s hosting standards.

  Nawezaje kuwasiliana na wasaidizi kwa ajili ya Open Homes?

  A dedicated support team is available to all hosts, guests and nonprofit partners for issues and questions related to Open Homes reservations 7 days a week, from 9am to 5pm Pacific Standard Time. Contact us by emailing openhomessupport@airbnb.com. Airbnb’s community support specialists are also available 24 hours a day, 7 days a week.

  What to do if you feel unsafe during a stay

  If you encounter an emergency situation, or if your personal safety is threatened during a stay, contact local police or emergency services immediately.

  If you need help from Airbnb with a safety concern, contact our Trust and Safety team.

  Before the start of the stay, you can also read our safety tips.

  Jiunge na jumuiya ambayo inataka kuchangia katika jamii kwa njia mpya, ya kibinafsi zaidi.

  Una maswali?
  Pata majibu kwenye Kituo chetu cha Msaada au Wasiliana nasi.
  Tembelea Kituo cha Msaada