Mafuriko

Fikia makazi ya dharura huko Deutschland, Belgique & Nederland

Malazi ya bure yalitolewa kati ya 19 Julai 2021 na 2 Agosti 2021 kwa wafanyikazi wa misaada na watu waliohamishwa.
Mafuriko

Fikia makazi ya dharura huko Deutschland, Belgique & Nederland

Malazi ya bure yalitolewa kati ya 19 Julai 2021 na 2 Agosti 2021 kwa wafanyikazi wa misaada na watu waliohamishwa.

Mafuriko katika Ulaya Magharibi

Airbnb.org huwaunganisha watu walioathiriwa na majanga na wenyeji ambao wanatoa sehemu ya kukaa bila malipo. Tangu mwaka 2012, maelfu ya watu wameshiriki katika mpango huu.

Ninawezaje kuweka nafasi ya eneo?

Jibu maswali machache
Ili kuanza, utahitaji akaunti ya Airbnb. Ukiishaingia, tutakuuliza maswali kadhaa kukuhusu na jinsi ambavyo umeathirika. Tutatathmini majibu yako kisha tuwasiliane nawe, kwa kawaida ndani ya saa 24.

Anza kutafuta
Mara ukiishaidhinishwa, utaweza kufikia maeneo ambayo yanapatikana bila malipo. Ukipata eneo linalokufaa, unaweza kuwasiliana na mwenyeji.
Anza kutafuta
Mara ukiishaidhinishwa, utaweza kufikia maeneo ambayo yanapatikana bila malipo. Ukipata eneo linalokufaa, unaweza kuwasiliana na mwenyeji.
Habari: nilihamishwa kutoka nyumbani kwangu na ninahitaji mahali pa kukaa. Nitakuja na watoto wangu wawili.
Unafikiri utawasili saa ngapi?
Thibitisha sehemu yako ya kukaa
Mwenyeji anaweza kuuliza maswali ya ziada kabla ya kukubali nafasi uliyoweka na huenda ukahitaji kuwasiliana na wenyeji kadhaa kabla ya sehemu yako ya kukaa kuthibitishwa.

Toa nafasi yako ya ziada bure kwa watu wanaohitaji nyumba za muda ili kuishi.

Toa sehemu yako
Mafuriko

Toa nafasi yako ya ziada bure kwa watu wanaohitaji nyumba za muda ili kuishi.

Toa sehemu yako

Unachohitaji ili kukaribisha wageni

Unachohitajika kufanya tu ni kuwapa wageni sehemu ya makaribisho na usaidie kujibu maswali yoyote yanayotokea.
 • Nyumba nzima au fleti
 • Kitanda chenye starehe
 • Vistawishi vya msingi na vifaa vya usafi
 • Upatikanaji wa siku 2 au zaidi mfululizo

Pata kujua jinsi Airbnb.org ilivyoanza

Tangu 2012, maelfu ya wenyeji wamefungua nyumba zao.
Sote tunataka kupata eneo ambalo tunaweza kuhisi kwamba tuko nyumbani. Eneo safi, linalokaribisha, litakalokuwa salama.
Juan & Bob
Wakaribishaji Wageni wakati wa Kimbunga Michael
Sote tunataka kupata eneo ambalo tunaweza kuhisi kwamba tuko nyumbani. Eneo safi, linalokaribisha, litakalokuwa salama.
Juan & Bob
Wakaribishaji Wageni wakati wa Kimbunga Michael

Jinsi tunavyokusaidia

Rasilimali na usaidizi wa simu wa saa 24
Tuko pamoja nawe katika hali hii. Pamoja na timu ya usaidizi kwa wateja ya saa 24 ya Airbnb, utaweza kufikia timu maalumu kwa maswali yoyote kuhusu nafasi iliyowekwa ya Airbnb.org.
Malipo ya kufidia uharibifu wa nyumba
Ijapokuwa uharibifu usiotarajiwa huwa ni nadra sana kutokea, tunaelewa kwamba unaweza kuhitaji ulinzi. Dhamana ya mwenyeji atalipa kila mwenyeji kwa uharibifu wa nyumba hadi $ 1,000,000.
Uchunguzi na ukaguzi wa hali ya juu
Ingawa hakuna mfumo wa uchunguzi ulio kamili, kote duniani tuna wawakilishi wa mashirika na wageni ambao huweka nafasi moja kwa moja kupitia Airbnb kwa kuzingatia kanuni, ugaidi na orodha za udhibiti.

Maswali yako yamejibiwa

Airbnb.org ni nini?

Airbnb.org is an independent, publicly-supported nonprofit organization that partners with nonprofits to provide people with emergency housing in times of crisis.

Through the Airbnb Open Homes and Frontline stays initiatives, Airbnb has worked with communities to help people in times of need since 2012. Now, Airbnb is establishing Airbnb.org as an independent organization to build upon these efforts and help even more people.

Airbnb.org is an independent organization with an independent board of directors. It’s an approved tax-exempt public charity under Section 501(c)(3) of the U.S. Internal Revenue Code. Contributions to organizations with 501(c)(3) status may be tax deductible.

Airbnb is covering the operating costs of Airbnb.org so community donations go further in supporting people in times of crisis.

,

Airbnb.org’s impact

Find out more about who Airbnb.org is supporting and the impact the Airbnb community has had to date. Airbnb.org’s first annual Impact Report will be available before the end of 2021.

,

Supporting Airbnb.org

The Airbnb community can support Airbnb.org by hosting or by donating. Hosts can choose to host Airbnb.org stays for free or to donate a percentage of each payout. These hosts will get an Airbnb.org supporter badge on their profiles. Anyone can give a one-time donation to Airbnb.org at any time.

Learn more about hosting Airbnb.org stays and donating from your payout

Kukaribisha wageni kwenye sehemu za kukaa za dharura kupitia Airbnb.org

Anyone with an entire home or apartment to offer can host emergency stays for people in times of crisis through Airbnb.org. In some locations, shared rooms and private rooms are also eligible for the program. This is dependent on advice from local authorities related to the spread of COVID-19.

The listings available on the site are as diverse as the Hosts who list them. Find out more about home types to see how to describe your space.

Like all Hosts on Airbnb, Hosts offering emergency stays through Airbnb.org must meet our hospitality standards, which include accurately representing your listing and availability, as well as providing a safe, secure, and clean space for guests. All Hosts and guests are required to uphold Airbnb’s community standards.

Kustahiki kwa ajili ya sehemu za kukaa za dharura kupitia Airbnb.org

In the aftermath of a disaster, there is often a critical need for emergency housing.

Airbnb.org currently supports:

 • People impacted by an emergency and relief workers responding in an official capacity
 • Refugees and asylum seekers

If you’re eligible and need emergency housing, find out how to book an emergency stay through Airbnb.org.

,,

Disaster relief

In some instances following an emergency, Airbnb.org activates a platform which allows local Hosts to offer their space for free to those impacted.

When the platform is activated, people impacted by the disaster can submit a request for emergency housing through a dedicated website for the event.

Guests need to provide proof of permanent or local travel address and their information will be reviewed by Airbnb.org or its service providers before they can book.

After Airbnb.org verifies their eligibility, they may book a free stay offered by Hosts via Airbnb.org.

To be eligible for an Airbnb.org stay as a relief worker, guests must be referred to the program by an official partner of Airbnb.org.

Refugee housing

There are many barriers for people who are trying to rebuild their lives in a new place. Before settling into permanent housing, refugees and asylum seekers need to finalize paperwork, search for jobs, and find a temporary place to stay.

To be eligible for an Airbnb.org stay as a refugee or asylum seeker, guests must be referred to the program by an official partner of Airbnb.org.

All guests eligible for refugee housing have the legal status of a recognized refugee entitled to international protection as determined by the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR) and/or have begun the process of seeking asylum in the country where they currently reside.

,
Jinsi ya kuweka nafasi ya sehemu ya kukaa ya dharura kupitia Airbnb.org

In order to book an emergency stay through Airbnb.org, you must meet eligibility requirements and be approved.

,,

Applying for a stay

Disaster relief

In some instances following a disaster, Airbnb.org activates a platform which allows local Hosts to offer their space for free to those impacted. When the platform is activated, people in crisis can request emergency housing through a dedicated website for the event.

If you have been impacted by a disaster

If emergency housing is available through Airbnb.org, you’ll see an article in Airbnb’s Press Room with information about the event and a link where you can submit a request.

You’ll need to log into or create an Airbnb account, confirm your address, answer a few questions, and agree to Airbnb's Community Standards and the Airbnb Terms of Service.

After you submit your request

We may get in touch to check on additional details. We aim to review all submissions within 24 hours. If we can’t verify your information or it doesn’t meet our eligibility criteria, we’ll send you an email to let you know.

Relief workers

Relief workers must be referred by an Airbnb.org nonprofit partner, as it’s not possible for individuals to apply for relief worker housing.

Refugee housing

To be approved for refugee housing, you must be referred by a nonprofit partner. Learn more about the nonprofits that Airbnb.org partners with on Airbnb.org.

Booking a stay

If you’re approved, you'll receive an email inviting you to browse available Airbnb.org stays. Here are a few tips to keep in mind:

 • Read the email invitation carefully. It’ll outline how to book a stay and the dates for which you can book.
 • Make sure the place is a good fit. Check the listing details—number of bedrooms, amenities, and photos.
 • Make sure your stay meets the program requirements. If it doesn’t, it'll be canceled according to the Host's cancellation policy.
 • Need more info? If you have any questions, click or tap Contact host on the listing page.
,
Kuwasiliana na usaidizi wa Airbnb.org

We’re here for you. Airbnb Support Ambassadors are available 24/7, with a dedicated team that specialises in Airbnb.org issues. Contact us 

If you feel unsafe during a stay

In an emergency or if your personal safety is threatened during a stay, contact local police or emergency services right away.

If you need help from Airbnb with a safety concern, contact our Trust and Safety team.

Here are some safety tips for Hosts and guests.