Ruka kwenda kwenye maudhui
Msaada wa COVID-19

Msaidie shujaa kupata nyumba

Changia ili kufadhili sehemu za kukaa kwa wahudumu walio kwenye mstari wa mbele wa kupambana na COVID-19. Tunafanya kazi na mashirika yasiyotengeneza faida ili kuhakikisha kwamba michango yako inawafikia wale wanaoihitaji.

Asilimia 100 hutumiwa kuwasaidia wahudumu

Mchango wako utaenda moja kwa moja kwa mashirika yasiyotengeneza faida ambayo husaidia wafanyakazi wa huduma ya afya na wahudumu wa dharura kupata sehemu za kukaa karibu na wagonjwa wao, au kukaa mbali na familia zao kwa usalama.

Airbnb inaunda zana kwa ajili ya mashirika yasiyotengeneza faida ili kuwasaidia wahudumu wanaopambana na COVID-19

Tumeunda mpango ambao unaruhusu mashirika yasiyotengeneza faida kupata makazi kwa ajili ya wafanyakazi wa huduma ya afya na wahudumu wa dharura kupitia Airbnb. Kwa msaada wako, wanaweza kuweka nafasi za sehemu za kukaa kwa watu wengi zaidi.
International Medical Corps
International Rescue Committee