Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Mambo ya msingi

 • Jinsi ya kufanya

  Kuunda Matukio mapya

  Matukio ni shughuli zilizobuniwa na kuongozwa na wakazi wenye hamasa. Wenyeji wanaonyesha jiji lao, ufundi, kusudi, au utamaduni kwa njia ambayo inazidi ziara ya kawaida.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Kuchagua picha nzuri kwa ajili ya ukurasa wa Tukio lako

  Utahitaji angalau picha 6 nzuri, zenye ubora wa hali ya juu ambazo zinaonyesha mambo muhimu ya tukio lako. Picha hizi zinapaswa kusimulia hadithi yako ya kipekee na zitaonyeshwa kwenye gridi ya ukurasa wa tukio lako.
 • Sera ya jumuiya • Mwenyeji wa Tukio

  Viwango na mahitaji ya Matukio ya Airbnb

  Pata maelezo kuhusu viwango vya ubora na matakwa ambavyo lazima Wenyeji wa Matukio ya Airbnb wakidhi.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Nini cha kujumuisha katika tukio lako

  Kile kinachojumuishwa na kisichojumuishwa katika tukio lako ni juu yako. Kuwa wazi katika maelezo ya tangazo lako ili wageni wako wajue nini cha kutarajia.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Kuchagua jiji kwa ajili ya tangazo la tukio lako

  Pata jiji lililo karibu zaidi nawe kwenye ramani yetu tendanishi. Ikiwa huishi ndani ya mipaka halisi ya mojawapo ya majiji hayo, unaweza kuchagua lililo karibu zaidi nawe.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Uthibitishaji kwa ajili ya matukio

  Hii inatusaidia kuhakikisha kwamba ni wewe kweli. Kutumia dakika chache za ziada kwenye hatua hii hutusaidia kuweka Airbnb salama, kupambana na ulaghai na kadhalika.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Bima ya dhima ya Matukio

  Bima ya dhima ya Matukio ni sehemu muhimu ya AirCover kwa ajili ya Wenyeji, ambayo ni ulinzi kamili kwa Wenyeji wa Airbnb.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Miongozo ya umri kwa ajili ya Matukio ya Airbnb

  Ikiwa ni shughuli ngumu, ina maudhui ya watu wazima, au iko kwenye sehemu iliyowekewa vizuizi vya umri, haifai kwa watoto.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Hati zinahitajika kwa ajili ya Tukio lako

  Unaweza kuhitaji kutoa taarifa za ziada kama vile leseni au hati za bima, kulingana na Tukio lako la Airbnb ulilopendekeza.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Kuthibitisha hati zako za leseni na bima

  Tutakutumia ujumbe ulio na kiunganishi cha kupakia nyaraka zako kwa ajili ya uhalalishaji kupitia mshirika wetu, Evident.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Sera ya shughuli za nje ya Matukio ya Airbnb

  Ili kusaidia kuwalinda Wenyeji na wageni, tumeshirikiana na Chama cha Biashara ya Usafiri wa Jasura (ATTA) kuamua aina za shughuli za nje zinazoruhusiwa kwenye Airbnb.
 • Sheria • Mwenyeji wa Tukio

  Shughuli za nje: Vidokezi kwa Wenyeji wa matukio

  Tumeshirikiana na shirika la Adventure Travel Trade Association kutoa mapendekezo ya usalama ili kukusaidia kuandaa tukio ambalo lina shughuli za nje.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Kufasili viwango vya ukali wa shughuli za nje

  Fasili za kiwango cha mkazo hutumika kama miongozo ili kukusaidia kupima ugumu wa tukio kulingana na shughuli zinazofanyika.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Kufasili viwango vya ustadi kwa Matukio ya Airbnb

  Wenyeji wanaweza kuweka kiwango cha ustadi katika sehemu ya matakwa ya wageni ya ukurasa wao wa tukio, pamoja na mwongozo kutoka shirika la Adventure Travel Trade Association (ATTA).
 • Sheria

  Kile kisichostahiki kuwa Tukio la Airbnb

  Huduma za miamala kwa kawaida haziruhusiwi kama Matukio ya Airbnb, kwani hazitoi uzoefu, ufikiaji wa ndani na uhusiano wa kirafiki.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji wa Tukio

  Ada za huduma za Airbnb kwa ajili ya Matukio

  Ili kuhakikisha kwamba tunaweza kuendelea kutoa mafao kama vile usaidizi kwa wateja wa saa 24, tunatoza Wenyeji wa Matukio ada ya huduma ya asilimia 20.