Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Wenyeji wanaoongoza matukio katika maeneo ya mbali wanaweza kuhitaji ujuzi maalumu au vyeti, huduma ya kwanza ya sasa au huduma za matibabu zinazoihusu shughuli hiyo.
Unaweza kutumia violezo vyetu vya mpango wa usalama vinavyotolewa na shirika la Msalaba Mwekundu la Marekani na Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Mwezi Mwekundu.
Airbnb imeshirikiana na ATTA, viongozi wataalamu katika sehemu za shughuli za nje, ili kuwasaidia wenyeji na wageni kujiandaa kwa ajili ya matukio na jasura za nje.
Wenyeji wa Airbnb wanajizatiti kuhakikisha kwamba matukio yao yanawapa maisha bora zaidi wanyama wowote wanaohusika, kwa kutumia kanuni zinazoongoza ustawi wa wanyama.
Wenyeji wanaoongoza matukio katika maeneo ya mbali wanaweza kuhitaji ujuzi maalumu au vyeti, huduma ya kwanza ya sasa au huduma za matibabu zinazoihusu shughuli hiyo.
Wenyeji lazima wawe na vitu safi, watenganishe vyakula vibichi na vilivyopikwa, wapike chakula kikamilifu, watunze chakula kwenye hali salama ya joto, watumie maji salama na watoe viambato bora.
Mawasiliano, mipango ya mapema na vile vile jinsi unavyotayarisha, kupika na kufanya usafi vyote ni vitu muhimu vya kulinda usalama wa wageni walio na mizio ya chakula.
Tunatoa mazoea bora kuhusu usalama wa chakula, ikiwemo taarifa kuhusu mizio ya chakula, vizuizi vya lishe, vidokezi vya usalama wa jikoni na vidokezi vya usalama wa moto.