Ruka kwenda kwenye maudhui
    Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa
    Habari za hivi punde kuhusu COVID-19
    Ili upate machaguo ya kughairi na kurejesha fedha, chagua nafasi iliyowekwa kwenye ukurasa wa Safari. Sera yetu ya sababu zisizozuilika inatumika tu kwenye nafasi fulani zilizowekwa. Tunatoa habari za hivi punde tarehe 1 na 15 ya kila mwezi.

    Vizuizi na mashauri ya kusafiri ya serikali

    Angalia viunganishi vilivyo hapa chini ili upate maagizo na amri za serikali zinazohusiana na COVID-19. Majibu ya serikali yanaendelea kubadilika, kwa hivyo tafadhali angalia mara kwa mara ili upate habari za hivi punde na utegemee serikali yako ya mtaa na ya kitaifa kwa taarifa za sasa hivi.