Msaada wa utaratibu wa safari na uwekaji nafasi
Msaada wa utaratibu wa safari na uwekaji nafasi
- Jinsi ya kufanyaKupata nafasi uliyowekaUnaweza kupata maelezo ya nafasi uliyoweka kwenye Safari zako.
- Jinsi ya kufanyaKupata uthibitisho wa kuweka nafasi kwa ajili ya TukioUnaweza kupata uthibitisho wa kuweka nafasi katika Safari zako na pia tutakutumia uthibitisho wa barua pepe baada ya kuweka nafasi ya Tukio …
- Jinsi ya kufanyaIkiwa huwezi kupata eneo ulilowekea nafasi kwenye tovutiIwapo una nafasi uliyoweka ambayo imethibitishwa na Mwenyeji, nafasi hiyo ni amilifu, hata kama Mwenyeji atazima tangazo hilo ili kulificha …
- Jinsi ya kufanyaNafasi nyingi zilizowekwa chini ya safari mojaIkiwa una nafasi uliyoweka inayoisha na nyingine inayoanza ndani ya siku 4 na maeneo yanakaribiana, tunazijumuisha katika safari moja.
- Jinsi ya kufanyaKuweka maelezo ya safari ya kikazi kwenye safariUnaweza kuweka au kuondoa taarifa ya safari ya kazini kwenye utaratibu wako wa safari katika sehemu ya madokezo ya biashara ya nafasi uliyow…
- Jinsi ya kufanyaWeka au uondoe wageni kwenye utaratibu wako wa safariUnaweza kuweka au kuondoa wageni kwenye utaratibu wako wa safari hadi nafasi uliyoweka itakapoanza. Nenda kwenye maelezo ya safari yako ili …
- Jinsi ya kufanyaKuweka majina kamili ya wageni wote kwenye nafasi iliyowekwaInaweza kuwa na manufaa kuweka majina kamili kwenye nafasi uliyoweka ikiwa utahitaji kuchapisha utaratibu wako wa safari kwa ajili ya viza y…
- Jinsi ya kufanyaVidokezi muhimu vya kusafiri kuelekea KubaPata taarifa muhimu kuhusu ukaaji wako nchini Kyuba, ikiwemo kujiandikisha katika mpango wa STEP na nambari za dharura.