Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Kuingia

  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Kuratibu kuingia na Mwenyeji wako

    Kuingia na kutoka kunaweza kutofautiana kulingana na eneo. Mtumie ujumbe Mwenyeji wako ili kujua nyakati na maelezo mengine na uulize maswali yoyote.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Wapi pa kupata maelekezo yako ya kuingia

    Unaweza kupata taarifa zako za kuingia katika maelezo ya nafasi uliyoweka. Pia tutakutumia barua pepe ya kukumbusha kuhusu nafasi iliyowekwa ikiwa na taarifa hizi.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Ikiwa una tatizo wakati wa ukaaji wako

    Iwapo jambo lolote lisilotarajiwa litatokea wakati wa ukaaji wako, mtumie Mwenyeji wako ujumbe ili mjadiliane kwanza kuhusu suluhisho. Kuna uwezekano kwamba ataweza kukusaidia kutatua tatizo hilo. Ikiwa Mwenyeji wako hawezi kukusaidia au ungependa kuomba urejeshewe fedha, tuko hapa kukusaidia.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Nini cha kufanya ikiwa eneo unamokaa si safi wakati wa kuingia

    Ukigundua kwamba eneo unamokaa si safi, tutakusaidia kutatua tatizo hilo.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Kuomba muda wa kuingia mapema

    Jinsi ya kuomba muda wa kuingia mapema kutoka kwa Mwenyeji, iwe wageni wameweka nafasi iliyothibitishwa au la.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Chapisha maelezo yako ya kuweka nafasi

    Katika maelezo yako ya kuweka nafasi, utapata chaguo la kuchapisha au kuyahifadhi kwenye PDF.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Weka wageni katika kikundi chako cha kusafiri kwenye nafasi iliyowekwa

    Alika wageni katika kikundi chako cha kusafiri wajiunge na safari yako. Baada ya kujiunga, wataweza kufikia taarifa za kuingia na ujumbe wote unaowasiliana na mwenyeji wako.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Mgeni kuingia mwenyewe

    Wageni wanaweza kuingia kwenye nyumba wakitumia kisanduku cha funguo, kufuli mahiri, kicharazio, au kwa kupata ufunguo, wakati wowote baada ya muda wa kuingia uliowekwa.