Bei na ada
Bei na ada
- Jinsi ya kufanya
Ada za Huduma za Airbnb
Ili kusaidia Airbnb ijiendeshe bila shinda na kumudu gharama za bidhaa na huduma tunazotoa, tunatoza ada ya huduma wakati nafasi iliyowekwa … - Jinsi ya kufanya
Jinsi kupanga bei kunavyofanya kazi
Jinsi bei ya jumla ya nafasi iliyowekwa inavyohesabiwa - Jinsi ya kufanya
Fedha zinazorejeshwa za ada ya huduma
Ada ya huduma inaweza kurejeshwa maadamu vigezo vyote vimetimizwa. Pata maelezo zaidi kuhusu kile kinachohitajika ili kupokea fedha zilizore… - Jinsi ya kufanya
Weka tarehe kwenye utafutaji wako ili kupata bei sahihi
Baadhi ya Wenyeji wana bei mahususi ambazo zinatangua bei chaguo-msingi au ya kima cha chini kwa tarehe mahususi au vipindi vya muda (ikiwem… - Jinsi ya kufanya
Kwa nini baadhi ya bei zimepigwa kistari cha kufuta
Tunapiga kistari cha kufuta kwenye bei ili kuonyesha kwamba Mwenyeji anatoa ofa. Bei itapigwa tu kistari cha kufuta iwapo ni punguzo la kwel… - Jinsi ya kufanya
Kukusanya ada nje ya Airbnb
Kwa ujumla, wenyeji hawapaswi kukusanya ada au malipo yoyote ya ziada nje ya tovuti ya Airbnb isipokuwa wapate idhini dhahiri ya Airbnb. - Jinsi ya kufanya
Bei ya kila usiku ni tofauti tarehe za ziada zinapoongezwa
Iwapo uliwasilisha ombi la kufanya mabadiliko kwa Mwenyeji wako naye akakubali, nafasi uliyoweka itasasishwa ili kuonyesha mabadiliko hayo k… - Jinsi ya kufanya
Ada za usafi
Ada ya usafi ni ada ya ziada ya mara moja ya kufanya usafi kwenye sehemu unamokaa. Ada hii huwekwa na Wenyeji.