Utatuzi wa matatizo ya malipo
Utatuzi wa matatizo ya malipo
- Jinsi ya kufanya
Ikiwa huwezi kukamilisha muamala
Hii inaweza kutokea kwa sababu kadhaa tofauti, kuanzia kadi ya benki iliyokwisha muda hadi kuzuia udanganyifu. Wasiliana na benki yako au ka… - Jinsi ya kufanya
Kwa nini kadi yangu ya benki inakataliwa?
Hii inaweza kutokea kwa sababu kadhaa tofauti, kuanzia kadi ya benki iliyokwisha muda hadi kuzuia udanganyifu. Wasiliana na benki yako au ka… - Sheria
Kwa nini ninaombwa kuthibitisha njia yangu ya malipo?
Ili kudumisha usalama wa akaunti yako, tunaweza kukuomba uthibitishe njia yako ya malipo. - Jinsi ya kufanya
Ni kwa nini nililipishwa mara mbili kwa nafasi niliyoiweka?
Njia yako ya malipo inaweza kuhitaji kuidhinishwa wakati wa kuweka nafasi na kabla ya malipo ya mwisho. - Jinsi ya kufanya
Ninathibitishaje kadi yangu kwa kutumia uidhinishaji wa muda mfupi?
Tutatuma idhini mbili za muda mfupi za $1.99 au chini ili kuthibitisha kadi yako ya benki au ya mkopo. Baada ya kuthibitishwa, unaweza kutum… - Jinsi ya kufanya
Kwa nini fedha zimeshikiliwa kwenye njia yangu ya malipo nilipo omba kuweka nafasi?
Njia yako ya malipo inaweza kuidhinishwa wakati wa kuweka nafasi. Ikiwa nafasi uliyoweka imekubaliwa, inakuwa malipo halisi yanayokatwa kwen… - Jinsi ya kufanya
Nilitoa malalamiko kwa benki yangu dhidi ya malipo yaliyotozwa na Airbnb, nini kifanyike sasa?
Unapotoa malalamiko kwa benki yako dhidi ya malipo yaliyotozwa, unaanzisha mchakato wa malalamiko unaoitwa kurejesha malipo. Mchakato huu hu… - Sheria
Thibitisha kadi yako ya benki
Wakati mwingine benki yako itatakiwa kuthibitisha kwamba ni wewe hasa unayefanya malipo ya mtandaoni kwa kutumia kadi yako ya benki.