Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Ushirikiano wa wenyeji na idhini za awali

  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Kuwasiliana na Wenyeji

    Ukitaka kupata maelezo zaidi kuhusu eneo, Mwenyeji au tukio kabla ya kuweka nafasi, unaweza kumtumia ujumbe Mwenyeji kwenye Airbnb.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Jinsi mwaliko wa kuweka nafasi unavyofanya kazi

    Idhini ya awali ni njia ya mwenyeji kukuruhusu kujua kuwa tangazo lake linapatikana anapoulizwa kuhusu uwezekano wa kuweka nafasi. Una saa 24 kuikubali.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Inamaanisha nini mwenyeji akinipa idhini ya awali?

    Ikiwa mwenyeji amekupa idhini ya awali, unaweza kuweka nafasi moja kwa moja kwa tarehe ambazo umeulizia bila kusubiri jibu jingine kutoka kwake.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Mialiko na ofa maalumu

    Unaweza kuwasiliana na Mwenyeji kuhusu eneo lake kabla ya kuomba kuliwekea nafasi. Kisha Mwenyeji ana chaguo la kukupa idhini ya awali au ofa maalumu.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Lini umtumie ujumbe Mwenyeji wako

    Unaweza kuweka nafasi kabla ya kuwasiliana na Mwenyeji, lakini ni vizuri umtumie ujumbe Mwenyeji ikiwa una maswali.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Kuwasiliana na Mwenyeji bila kuweka nafasi

    Kabla ya kuweka nafasi unaweza kumuuliza Mwenyeji maswali mahususi kuhusu tangazo, upatikanaji na kadhalika.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Ikiwa Mwenyeji atakuomba utie sahihi mkataba

    Baadhi ya Wenyeji wanahitaji makubaliano ya upangishaji ili kuwekewa nafasi, lakini lazima wafichue matakwa haya na masharti yake kabla ya nafasi kuwekwa.