Maombi ya kuweka nafasi
Maombi ya kuweka nafasi
- Jinsi ya kufanyaJinsi ya Kuweka Nafasi Papo Hapo na matangazo ya kawaidaMara tu ukiwa tayari kuweka nafasi, unaweza kutuma ombi kwa Mwenyeji, au kumtumia ujumbe wenye maswali yoyote.
- Jinsi ya kufanyaGhairi ombi la safariMaadamu ombi lako la safari halijakubaliwa, unaweza kughairi nafasi uliyoweka kupitia uzi wa ujumbe na Mwenyeji wako.
- Jinsi ya kufanyaAngalia hali ya nafasi uliyoweka kama mgeniUnaweza kuangalia hali ya nafasi uliyoweka kwa kutembelea kikasha chako au kwa kwenda kwenye Safari na kutafuta nafasi uliyoweka.
- Jinsi ya kufanyaKuelewa hali ya nafasi uliyowekaPata maelezo kuhusu hali mbalimbali ambazo tangazo lako linaweza kupitia.
- Jinsi ya kufanyaMuda wa kutoa majibu wa MwenyejiWenyeji wana saa 24 kukubali kirasmi au kukataa ombi la kuweka nafasi. Utatumiwa habari za hivi karibuni kupitia barua pepe kuhusu hali hiyo…
- Jinsi ya kufanyaBadilisha ombi la safari linalosubiriIkiwa ombi linasubiri na halijakubaliwa na Mwenyeji, unaweza kuondoa ombi hilo na utume jipya pamoja na maelezo yako ya kuweka nafasi yaliyo…