Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Mahitaji

 • Jinsi ya kufanya

  Matakwa ya kuweka nafasi

  Baada ya vitu vya msingi (jina, barua pepe na nambari ya simu) tunahitaji taarifa zaidi ili uweze kuweka nafasi ya sehemu yako ya kukaa.
 • Sera ya jumuiya • Mgeni

  Matakwa ya umri

  Lazima uwe na umri wa angalau miaka 18 ili uweke nafasi au ukaribishe wageni katika eneo lako kwenye Airbnb.
 • Sheria • Mgeni

  Kusafiri na watoto

  Ndiyo, watoto wanaweza kusafiri kwenye Airbnb, lakini baadhi ya Wenyeji wamebainisha kuwa sehemu yao huenda isiwe salama au isiwafae watoto au watoto wachanga.
 • Sera ya jumuiya

  Sera ya Ufikiaji

  Jumuiya yetu imejengwa juu ya kanuni za ujumuishaji, kujisikia nyumbani na heshima, ambayo inajumuisha kukaribisha na kusaidia watu wenye ulemavu. Kwa ujumla, wageni wanaohitaji malazi na huduma zinazofaa hawapaswi kubaguliwa au kunyimwa huduma wanapotumia Airbnb. Katika baadhi ya maeneo ya kisheria, matakwa ya kisheria yanaweza kuongeza au kupunguza malazi yanayofaa ambayo Mwenyeji anapaswa kutoa. Ni lazima Wenyeji na wageni wazingatie matakwa haya ya kisheria.
 • Sheria • Mgeni

  Kuweka nafasi nchini Kyuba

  Airbnb imepewa idhini maalumu na Wizara ya Fedha ya Marekani ambayo inatuwezesha kutoa huduma za kusafiri zilizoidhinishwa kwa watu ambao si raia wa Marekani wanaoenda nchini Kyuba.
 • Jinsi ya kufanya • Mgeni

  Kuweka nafasi nchini Japani

  Pata taarifa muhimu kuhusu unachohitaji kujua kabla ya kuweka nafasi ya sehemu ya kukaa nchini Japani, ikiwemo taarifa utakayompa Mwenyeji wako.