Kubadilisha nafasi iliyowekwa ya sehemu ya kukaa
Whether it's changing the dates of your stay, the number of guests, or something else, you can change a confirmed reservation by submitting a change request to your Host.
Wasilisha ombi la mabadiliko
- Nenda kwenye Safari kisha ubofye safari unayotaka kubadilisha
- Bofya Badilisha nafasi iliyowekwa
- Badilisha tarehe za ukaaji wako au idadi ya wageni kisha ubofye Hifadhi
- Tafadhali kumbuka kwamba Mwenyeji atalazimika kukubali mabadiliko yoyote yaliyowasilishwa. Ikiwa Mwenyeji wako hatakubali, jaribu kumtumia ujumbe unaomkumbusha atathmini ombi lako la kufanya mabadiliko.
- Tathmini mabadiliko yako, kisha ubofye Tuma ombi
- Mara baada ya kutuma ombi, Mwenyeji atapokea arifa ya kuidhinisha au kukataa ombi lako
- Bofya Safari
kisha ubofye safari unayotaka kubadilisha

- Tafadhali kumbuka kwamba Mwenyeji atalazimika kukubali mabadiliko yoyote yaliyowasilishwa. Ikiwa Mwenyeji wako hatakubali, jaribu kumtumia ujumbe unaomkumbusha atathmini ombi lako la kubadilisha.
- Tathmini mabadiliko yako, kisha ubofye Tuma ombi
- Mara tu unapotuma ombi, Mwenyeji atapokea arifa ya kuidhinisha au kukataa ombi lako
How it works
Depending on the Host’s policy, changing the number of guests may affect the total cost of your stay.
The original total and the new total will be shown before you submit your request for the alteration. Once the Host accepts, the change will be processed.
You’ll be charged or refunded, if necessary, and this will also be shown before you confirm the change.
If the Host declines your request, or doesn’t respond, your reservation will stay the same.
Other details
Here are a few other things to keep in mind when making a change request:
- You can’t make changes if your checkout date is in the past
- Once changes have been made, any later changes must go through the process outlined above as a new request
- If the Host altered their pricing for the new dates before you requested the change, your new reservation will reflect this pricing, unless you booked a special offer
- Changing the reservation dates may affect if you're still eligible for a weekly or monthly discounted rate
- Once a reservation has started, you can’t change the number of guests
- If you do need to add more guests to your reservation, use the resolution center to process any additional payments you and the Host have agreed on
Longer stays
If a reservation is for 28 nights or more, the longer stay cancellation policy applies.
For guests
If you’re a guest, you can check your confirmation email for more details.
If you change or cancel a longer stay:
- Your first payment might be nonrefundable, depending on the listing and when the reservation is made
- If you cancel after the trip has started, the following 30 nights of the reservation are nonrefundable
- Your Host can choose to offer an additional refund
Makala yanayohusiana
- Kubadilisha nafasi iliyowekwaJe, unahitaji kubadilisha nafasi iliyowekwa? Jambo hilo hutokea na tuko hapa kukusaidia. Hivi ndivyo unavyoweza kuondoa maombi, kubadilisha …
- MwenyejiKurekebisha nafasi iliyowekwa kama MwenyejiUnaweza kuwasilisha ombi la mabadiliko kwa mgeni wako. Ikiwa mgeni atakubali, nafasi iliyowekwa itasasishwa.
- MwenyejiKujibu ombi la kubadilisha safari ya mgeniIwapo mgeni wako anataka kubadilisha maelezo ya nafasi aliyoweka ambayo imethibitishwa (mfano: kufupisha safari yake au kuongeza usiku), laz…