Jinsi ya kufanya
•
Mwenyeji
Hariri anwani ya tangazo lako
Hariri anwani ya tangazo lako
You can only edit your listing address before you accept your first booking. Once guests have stayed there, or if you have an upcoming reservation, you’ll need to contact us to change it. If you’ve moved or you’re listing a new place, you’ll need to create a new Airbnb listing.
Ili kuhariri anwani ya tangazo lako
- Bofya Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Kihariri tangazo, bofya Sehemu yako
- Bofya Mahali kisha ubofye Anwani
- Hariri anwani yako kisha ubofye Hifadhi
- Bofya Wasifu kisha ubofye Badilisha kwenda kukaribisha wageni
- Gusa Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Kihariri tangazo, gusa Sehemu yako
- Gusa Mahali kisha uguse Anwani
- Hariri anwani yako kisha uguse Hifadhi
- Bofya Wasifu kisha ubofye Badilisha kwenda kukaribisha wageni
- Gusa Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Kihariri tangazo, gusa Sehemu yako
- Gusa Mahali kisha uguse Anwani
- Hariri anwani yako kisha uguse Hifadhi
- Gusa Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka kuhairi
- Chini ya Kihariri tangazo, gusa Sehemu yako
- Gusa Mahali kisha uguse Anwani
- Hariri anwani yako kisha uguse Hifadhi
You can also customize how your listing is shown on the map to be more general or specific in public search results. But for safety and convenience, always provide confirmed guests with your listing’s exact address and map location.
Je, makala hii ilikusaidia?
Makala yanayohusiana
- Mwenyeji
Fanya eneo la ramani yako liwe mahususi
Wageni ambao nafasi walizoweka zimethibitishwa watapata eneo na anwani halisi ya tangazo lako. Unaweza kuchagua kuonyesha wageni watarajiwa … - Mwenyeji
Inathibitisha tangazo lako
Kuthibitisha matangazo hufanya iwe rahisi kwa wageni kuweka nafasi wakiwa na uhakika. Wenyeji wanaweza kuombwa kuonyesha kwamba tangazo lao … Jinsi ya kusasisha anwani ya tangazo langu kama Mwenyeji aliyeunganishwa na programu
Hutaweza kubadilisha anwani kwenye akaunti yako moja kwa moja kwenye Airbnb au kupitia mtoa huduma wako wa programu baada ya tangazo kuundwa…