Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa

  Ondoa kwenye utafutaji, ondoa tangazo au ulilemaze

  If you want to stop receiving new reservations and remove your listing from search results, you have options. Choose a way to manage your listing that works for you.

  • Snooze it for a set period of time (as long or as short as you’d like!)
  • Unlist it until you’re ready to receive reservations again
  • Deactivate it if you’ll no longer host your place (all confirmed reservations must be complete)

  If you snooze or unlist, you’ll still host your guests for any confirmed reservations.

  Snoozing

  Ili kuondoa tangazo lako kwa muda na kulificha kutoka kwenye matokeo ya utafutaji kwa muda uliowekwa:

  1. Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka
  2. Chini ya Mambo ya msingi ya tangazo, nenda kwenye Hali ya tangazo kisha ubofye Hariri
  3. Bofya Imelemazwa kwa muda, kisha uchague tarehe za kuanza na kumaliza
  4. Bofya Hifadhi

  Temporarily unlisting

  Ili kuondoa tangazo lako kwenye matokeo ya utafutaji kwa muda usiojulikana:

  1. Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka
  2. Chini ya Mambo ya msingi ya tangazo, nenda kwenye Hali ya tangazo kisha ubofye Hariri
  3. Bofya Limeondolewa, kisha uchague sababu ya kuondoa tangazo
  4. Bofya Ondoa tangazo

  Permanently deactivating

  Ili kulemaza kabisa tangazo lako:

  1. Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka
  2. Chini ya Mambo ya msingi ya tangazo, nenda kwenye Hali ya tangazo kisha ubofye Hariri
  3. Bofya Lemaza, kisha uchague sababu ya kulemaza
  4. Bofya Lemaza

  Kumbuka kuwa kulemaza tangazo lako hakutaathiri tathmini zozote kutoka kwa wageni wako au tathmini ulizowaandikia—bado zitaonyeshwa kwenye wasifu wa umma.

  Ulipata msaada uliohitaji?

  Makala yanayohusiana