Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Jinsi ya kufanya
Mwenyeji

Weka bei ya kila usiku na uifanye iwe mahususi

Sharing your space can bring you lasting memories, worldwide connections, and cash in your pocket—but it all begins with pricing.

Your default nightly price shows on your calendar for all dates you haven’t customized. For high-demand dates like holidays and special events, you can set a custom price.

Kuweka bei yako chaguo-msingi ya kila usiku

Ikiwa ungependa bei yako ibadilike kulingana na uhitaji, washa kipengele cha Upangaji Bei Kiotomatiki. Vinginevyo:

  1. Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka
  2. Bofya Bei na upatikanaji kisha uende kwenye Bei
  3. Karibu na Bei ya kila usiku, bofya Hariri
  4. Weka bei yako ya kila usiku, kisha ubofye Hifadhi

Mabadiliko yako yatatumika tu kwenye nafasi zitakazowekatika siku zijazo, si zile ambazo tayari zinasubiri au zilizothibitishwa.

Kuweka bei mahususi kwa tarehe mahususi

Hakikisha kipengele cha Upangaji Bei Kiotomatiki kimezimwa.

  1. Nenda kwenye Kalenda kisha uchague tangazo
  2. Chagua tarehe moja au tarehe nyingi
  3. Nenda kwenye Bei ya kila usiku kisha uweke bei yako mahususi
  4. Bofya Hifadhi

Bei yako mpya ambayo ni mahususi itaonyeshwa kwa kila usiku uliochaguliwa, ikibatilisha bei yako chaguo-msingi ya kila usiku pamoja na Upangaji Bei Kiotomatiki, bei ya wikendi na bei ya muda mrefu, iwapo yoyote kati ya hizo itawekwa.

Learn more about further customizing your pricing:

Je, makala hii ilikusaidia?

Makala yanayohusiana