Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa

  Mahali pa kununua bima ya safari

  Bima ya safari mara nyingi ni wazo zuri, lakini Airbnb haiitoi—ikiwa unaitaka, itakubidi uipate kutoka kwa mtoa huduma. Pia hatupendekezi bidhaa au huduma za kampuni yoyote ya bima ya safari, mawakala au madalali.

  Unaweza kununua bima ya safari moja kwa moja kupitia:

  • Tovuti za kampuni za bima ya safari
  • Watoa huduma za usafirishaji kama vile mashirika ya ndege na kampuni za kukodisha magari
  • Tovuti za bima ya safari ambazo zinajumlisha mipango kutoka kwa watoa huduma anuwai

  Kabla ya kununua bima, hakikisha unaelewa inashughulikia nini na haishughulikii nini. Bima, mipango ya bima na watoa huduma hutofautiana ulimwenguni.

  Pata maelezo zaidi kuhusu bima ya safari na ikiwa unapaswa kuinunua.

  Taarifa hii imetolewa kwa madhumuni ya elimu ya jumla tu.

  Ulipata msaada uliohitaji?

  Makala yanayohusiana