Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa

  Machaguo ya kughairi kwa sababu ya COVID-19

  Nafasi zilizowekwa mnamo au kabla ya tarehe 14 Machi, 2020

  Ikiwa uliweka nafasi mnamo au kabla ya tarehe 14 Machi, 2020 na COVID-19 inaathiri mipango yako ya kusafiri, unaweza kufahamu machaguo yako ya sasa ya kughairi na kurejeshewa fedha kwa kwenda kwenye ghairi nafasi uliyoweka kisha uchague Mipango yangu ya kusafiri imebadilika kwa sababu ya janga la ugonjwa wa COVID-19.

  Kulingana na hali zako, unaweza kuona moja au zaidi ya machaguo yafuatayo:

  • Kurejeshewa fedha kulingana na sera ya kughairi ya Mwenyeji wako
  • Kurejeshewa fedha taslimu kamili baada ya kuwasilisha nyaraka rasmi kwa ajili ya kutathminiwa
  • Salio la safari la sababu zisizozuilika
  • Mwombe Mwenyeji wako akurejeshee fedha zote

  Nafasi zilizowekwa baada ya tarehe 14 Machi, 2020

  Ikiwa nafasi yako iliwekwa baada ya tarehe 14 Machi, 2020 na COVID-19 inaathiri mipango yako ya kusafiri, sera ya kughairi ya Mwenyeji wako itatumika. Hata hivyo, ikiwa unaugua COVID-19, hii inashughulikiwa chini ya Sera yetu ya kawaida ya Sababu Zisizozuilika.

  Ikiwa nafasi uliyoweka haistahiki kurejeshewa fedha zote, unaweza kumtumia Mwenyeji wako ujumbe wakati wowote ili kujua ikiwa angependa kukurejeshea fedha za ziada kupitia Kituo cha Usuluhishi.

  Ulipata msaada uliohitaji?

  Makala yanayohusiana