Jinsi ya kufanya
•
Mwenyeji
Ninawekaje maelekezo ya kuingia na kutoka kwenye tangazo langu?
Ninawekaje maelekezo ya kuingia na kutoka kwenye tangazo langu?
You can add or update the check-in and checkout instructions for your listing in the Listing section of your account. Guests won’t be able to find the check-in instructions until 48 hours before their reservation starts, but the checkout instructions will be available to guests prior to booking.
Weka maelekezo ya kuingia
Kuweka maelekezo ya kuingia kwenye tangazo lako:
- Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Taarifa kwa ajili ya wageni, chaguaNjia ya kuingia
- Chagua chaguo linalokufaa zaidi, weka maelekezo ya ziada kisha ubofye Hifadhi
- Gusa Wasifu
kisha uguse Badilisha kwenda kukaribisha wageni
- Gusa Menyu, halafu Tangazo
kisha tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Taarifa kwa ajili ya wageni, gusa Njia ya kuingia

- Nenda kwenye Matangazo kisha uguse tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Taarifa kwa ajili ya wageni, chaguaNjia ya kuingia
- Chagua chaguo linalokufaa zaidi, weka maelekezo ya ziada kisha ubofye Hifadhi
Kumbuka: Huduma ya kuingia mwenyewe huenda isipatikane katika nchi zote.
Check-in method options
Options available for check-in methods include:
- Smart lock: A lock guests open with a mobile app or keypad
- Keypad: Guests can open the door with a code
- Lockbox: The key is stored in a small safe, which guests can open with a code
- Building staff: Someone is available 24 hours a day to let guests in
- Host greets you: A Host or Co-Host will meet guests to exchange the key
- Other: Guests can use a different method not listed above
Weka maelekezo ya kutoka
Ili kuweka maelekezo ya kutoka kwenye tangazo lako:
- Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Taarifa kwa ajili ya wageni, chagua Maelekezo ya kutoka, kisha bofya Weka maelekezo
- Chagua chaguo linalokufaa zaidi kisha ubofye Hifadhi
- Gusa Wasifu
kisha uguse Badilisha kwenda kukaribisha wageni
- Gusa Menyu, halafu Tangazo
kisha tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Taarifa kwa ajili ya wageni, chagua Maelekezo ya kutoka, kisha uguse Weka maelekezo
- Chagua chaguo linalokufaa zaidi kisha uguse Hifadhi
- Gusa Wasifu
kisha uguse Badilisha kwenda kukaribisha wageni
- Gusa Menyu, halafu Tangazo
kisha tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Taarifa kwa ajili ya wageni, chagua Maelekezo ya kutoka, kisha uguse Weka maelekezo
- Chagua chaguo linalokufaa zaidi kisha uguse Hifadhi
- Nenda kwenye Matangazo kisha uguse tangazo unalotaka kuhariri
- Chini ya Taarifa kwa ajili ya wageni, chagua Maelekezo ya kutoka, kisha uguse Weka maelekezo
- Chagua chaguo linalokufaa zaidi kisha uguse Hifadhi
Checkout instructions options
Options available for checkout instructions include:
- Return keys: Ask guests to return the keys
- Lock up: Ask guests to lock the entrance door or close the windows
- Turn things off: Ask guests to turn things off
- Throw trash away: Ask guests to throw the trash in the bin
- Put dirty dishes in the sink: Ask guests to put dirty dishes in the sink
- Additional requests: Any additional checkout instruction not listed above
Je, makala hii ilikusaidia?
Makala yanayohusiana
- MgeniMgeni kuingia mwenyeweWageni wanaweza kuingia kwenye nyumba wakitumia kisanduku cha funguo, kufuli mahiri, kicharazio, au kwa kupata ufunguo, wakati wowote baada …
- MgeniWapi pa kupata maelekezo yako ya kuingiaUnaweza kupata taarifa zako za kuingia katika maelezo ya nafasi uliyoweka. Pia tutakutumia barua pepe ya kukumbusha kuhusu nafasi iliyowekwa…
- MgeniKuratibu kuingia na Mwenyeji wakoKuingia na kutoka kunaweza kutofautiana kulingana na eneo. Mtumie ujumbe Mwenyeji wako ili kujua nyakati na maelezo mengine na uulize maswal…
Pata msaada kuhusu nafasi ulizoweka, akaunti na kadhalika.
Ingia au ujisajili