Ruka kwenda kwenye maudhui
  Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa
  Habari za hivi punde kuhusu COVID-19
  Ili upate machaguo ya kughairi na kurejesha fedha, chagua nafasi iliyowekwa kwenye ukurasa wa Safari. Sera yetu ya sababu zisizozuilika inatumika tu kwenye nafasi fulani zilizowekwa. Tunatoa habari za hivi punde tarehe 1 na 15 ya kila mwezi.

  Nitajuaje kama tangazo linapatikana?

  Ili mradi unapoingiza safari yako, tarehe zako za safari, na idadi ya wageni wakati wa kutafuta katika Airbnb, matangazo yote yatakayoonekana yanapaswa kupatikana kwa ajili ya safari yako.

  Ingawa tunahimiza sana wenyeji wote kuweka kalenda zao kuwa sahihi, fikiria kutuma ujumbe kwa wenyeji ili kuthibitisha kwa mara ya pili kuwa nyumba yao bado inapatikana. Unaweza pia kumtumia ujumbe mwenyeji kuuuliza maelezo mengine kuhusu sehemu yao.

  Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kutafuta eneo la ukaaji.

  Makala yanayohusiana
  Ulipata msaada uliohitaji?