Ruka kwenda kwenye maudhui
  Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa
  Muda wa kusubiri kwa wakati huu ni mrefu kuliko kawaida
  Kwa sababu ya virusi vya korona (COVID-19), kwa sasa tunapokea idadi kubwa ya maombi na huku tukiwa na idadi pungufu ya wafanyakazi. Ikiwa nafasi uliyoweka bado iko mbali na zaidi ya saa 72, tafadhali wasiliana nasi karibu na tarehe yako ya kuingia ili tuweze kuwasaidia wale wanaohitaji usaidizi wa haraka. Ili kubadilisha au kughairi nafasi uliyoweka, nenda kwenye ukurasa wako wa safari au dashibodi ya mwenyeji.

  Ninawasilisha vipi madai kuhusu Sababu Zisizozuilika?

  Kumbuka: Ikiwa unahitaji kughairi nafasi uliyoweka kwa sababu ya virusi vya korona (COVID-19), tafadhali tathmini makala yetu kuhusu machaguo ya kughairi.

  Jinsi ya kughairi

  Ikiwa ni lazima ughairi kwa sababu ya hali isiyotarajiwa ambayo iko nje ya udhibiti wako:

  1. SomaSera yetu ya Sababu Zisizozuilika ili kuona kama inakukinga
  2. Hakikisha una nyaraka zozote zinazohitajika
  3. Ghairi nafasi uliyoweka kwenye nyumba au Tukio la Airbnb

  Inavyofanya kazi

  Ikiwa nafasi uliyoweka iko chini ya sababu isiyozuilika ambayo inatambuliwa, utaarifiwa kuwa nafasi hiyo inastahiki kughairiwa bila adhabu, nawe utarejeshewa fedha kamili ikiwa wewe ni mgeni.

  Ikiwa nafasi uliyoweka haistahiki kiotomatiki, ghairi tu nafasi uliyoweka kisha uwasiliane nasi ili kufungua madai. Tutakuongoza katika hatua zinazofuata, ambazo zitajumuisha kuwasilisha nyaraka zozote zinazohitajika na kusubiri timu yetu itathmini suala lako. Madai lazima yawasilishwe ndani ya siku 14 baada ya kughairi.

  Ulipata msaada uliohitaji?