Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa

  Kughairi safari kutokana na sababu zisizozuilika

  Kumbuka: Ikiwa unahitaji kughairi kwa sababu ya janga la COVID-19, tafadhali soma makala hii kuhusu machaguo yako.

  Usiwe na wasiwasi. Ikiwa unahitaji kughairi nafasi uliyoweka kwa sababu ya jambo la dharura au hali isiyoweza kuepukika, tunaweza kusaidia:

  1. Soma Sera yetu ya Sababu Zisizozuilika ili kuangalia ikiwa umejumuishwa
  2. Hakikisha una nyaraka zozote zinazohitajika
  3. Ghairi ukaaji wako au Tukio la Airbnb kwa kuchagua Nina sababu isiyozuilika
  4. Wasiliana nasi ili kuandikisha madai na tutakuongoza kwa hatua zinazofuata, ambazo zitajumuisha kuwasilisha nyaraka zozote zinazohitajika na kusubiri timu yetu itathmini suala lako

  Muhimu: Madai lazima yawasilishwe ndani ya siku 14 baada ya kughairi.

  Ulipata msaada uliohitaji?

  Makala yanayohusiana