Jinsi ya kufanya
•
Mwenyeji
Kuweka mwongozo wa mgeni kwenye tangazo lako
Kuweka mwongozo wa mgeni kwenye tangazo lako
Make your guests feel at home with a thoughtful guest manual.
Once your listing is complete, you can create your guest manual. You can share day-to-day details, like how to turn on the hot water heater, or where to find an extra blanket. Only guests with a confirmed reservation can access your manual.
Want some great tips about how to make your guest manual shine? Check out our Resource Center.
Ili kuweka au kuhariri mwongozo wako wa wageni:
- Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka
- Bofya Taarifa kwa ajili ya wageni
- Chini ya Maelezo ya baada ya kuweka nafasi, nenda kwenye Mwongozo wa wageni kisha ubofye Hariri
- Fanya mabadiliko yako kisha ubofye Hifadhi
- Bofya Wasifu
kisha ubofye Badilisha kwenda kukaribisha wageni
- Nenda kwenye Menyu, bofya Matangazo
kisha uchague tangazo unalotaka
- Chini ya Taarifa kwa ajili ya wageni, bofya Mwongozo wa wageni

Heads up: Guest manuals may be referred to as house manuals in some places. But don’t worry! It’s the same helpful guest information.
Je, makala hii ilikusaidia?
Makala yanayohusiana
- MwenyejiWeka kitabu cha mwongozo kwenye tangazo lakoUnaweza kuunda kitabu cha mwongozo wa mwenyeji baada ya kumaliza hatua za kutangaza sehemu yako.
- MwenyejiKuweka sheria za nyumba kwenye tangazoWenyeji hushiriki sheria za nyumba zao ili kuweka matarajio kwa wageni wao, kama vile ruhusa ya kuleta wanyama vipenzi au kuwa na wageni.
- MwenyejiVidokezi vya usalama kwa Wenyeji wa sehemu za kukaaPata taarifa kuhusu majukumu ya kukaribisha wageni, pamoja na mazoea bora ili kuhakikisha wageni wako wana taarifa na nyenzo wanazohitaji.
Pata msaada kuhusu nafasi ulizoweka, akaunti na kadhalika.
Ingia au ujisajili