Ruka kwenda kwenye maudhui

Karibu! Safari yako ya kukaribisha wageni inaanzia hapa.

Matukio ya Airbnb ni shughuli za makundi madogo zinazoongozwa na wataalamu wa mahali husika.

Mawazo yote ya tukio hutathminiwa na timu ndogo kwenye Airbnb. Iwapo wazo lako linakidhi viwango vyetu vya ubora, utaweza kuweka tarehe kisha uanze kukaribisha wageni.

Tunafurahi kupata maelezo zaidi kukuhusu na kile ambacho ungependa kushiriki na ulimwengu.